SHERIA YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YA MWAKA 2024, SHERIA NA. 2 YA 2024
Abstract
Sheria hii itajulikana kama Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya mwaka 2024 na itaanza kutumika katika tarehe ambayo Waziri atateua kwa notisi katika Gazeti la Serikali.