SHERIA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2024, NA. 1 YA 2024
Abstract
Sheria hii itajulikana kama Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024, na itaanza kutumika katika tarehe ambayo Waziri atateua kwa notisi katika Gazeti la Serikali.