KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA MAFAO YA MWANACHAMA KAMA DHAMANA YA MKOPO WA NYUMBA ZA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 48 LA 2025
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Matumizi ya Mafao ya Mwanachama kama Dhamana ya Mkopo wa Nyumba za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Matumizi ya Mafao ya Mwanachama kama Dhamana ya Mkopo wa Nyumba za Mwaka 2025 ambazo katika Kanuni hizi zitarejewa kama "Kanuni kuu".
Collections
- Subsidiary Legislation [188]