SHERIA NDOGO YA MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USAFI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA MJI WA HANDENI YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 46 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka 2025, na itasomwa kwa pamoja na Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Mji wa Handeni ya Mwaka, 2019 ambayo hapa imerejewa kama “Sheria Ndogo Kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]