SHERIA NDOGO YA UDHIBITI NA USIMAMIZI WA MIFUGO YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 43 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2025.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]