AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA WA MAGARI 5 YA MRADI WA USAID - AFYA ANGU WA M/S DELOITTE CONSULTING LIMITED, TANGAZO LA SERIKALI Na. 41 LA 2025
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa wa Magari 5 ya Mradi wa USAID - Afya Yangu wa Deloitte Consulting Limited na itachukuliwa kuwa imeanza kutumika kuanzia tarehe 11 Oktoba 2025.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]