MAREKEBISHO YA KANUNI ZA KINGA YA MIONZI IONISHI NA ISIYO IONISHI ZA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 34 LA 2025
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Kinga ya Mionzi Ionishi na Isiyo Ionishi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Kinga ya Mionzi Ionishi na Isiyo Ionishi za Mwaka 2023 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama "Kanuni kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]