MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA HIFADHI YA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 32 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba ya
Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023 ambayo hapa imerejewa kama “Sheria Ndogo kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]