MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USAFI, AFYA NA HIFADHI YA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA YA MWAKA 2025 Tangazo la Serikali Na.31 (Linaendelea.) TANGAZO LA SERIKALI Na. 31 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Usafi, Afya na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Usafi, Afya na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha ya Mwaka 2023 ambayo katika Sheria Ndogo hii inarejewa kama “Sheria Ndogo kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]