MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USHURU WA MASOKO NA MAGULIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 27 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ya Mwaka 2023 ambayo katika Sheria Ndogo hii inarejewa kama “Sheria Ndogo kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]