MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 24 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ya Mwaka 2025, na itasomwa kpamoja na Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ya Mwaka 2023 ambayo katika Sheria Ndogo hii inarejewa kama “Sheria Ndogo kuu”
Collections
- Subsidiary Legislation [188]