KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA MIUNDOMBINU YA RELI KWA WATOA HUDUMA BINAFSI ZA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 23 LA 2025
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Matumizi ya Miundombinu ya Reli kwa Watoa Huduma Binafsi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Matumizi ya Miundombinu ya Reli kwa Watoa Huduma Binafsi za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zitarejewa kama “Kanuni kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]