NOTISI YA KUWEPO KWA NAFASI WAZI YA KITI CHA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KIGAMBONI YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na.18 LA 2025
Abstract
KWA KUWA, kifungu cha 49(2) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kinampa Spika wa Bunge la Tanzania mamlaka ya kutangaza nafasi ya Ubunge pale Mbunge anapojiuzulu, anapofariki dunia au anapoachia nafasi ya ubunge kwa sababu nyingine tofauti na zilizoainishwa chini ya kifungu cha 142 cha Sheria hiyo;
Collections
- Subsidiary Legislation [188]