SHERIA NDOGO YA UDHIBITI WA BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YA MWAKA, 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na. 9 LA 2025
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Kilimo ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba ya Mwaka 2024.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]