JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI NA MOJA
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Abstract
Tarehe 04 Aprili, 2024; Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Dkt. SamiaSuluhu Hassan alimteua Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Edward Mtulo kuwa NaibuWakili Mkuu wa Serikali ambapo tarehe 28 Aprili, 2024 aliapishwa. Kuteuliwa kwa Bi. Mtulo kushika nafasi hiyo inadhihirisha kuwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inaendelea kulea na kuandaa Viongozi wanaoweza kufanya kazi kwa weledi na kuchapa kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuiletea nchi yetu maendeleo.