GALLERY: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 142
-
Ndugu Mosses Raymond akitoa mada kuhusu matumizi ya Akili hisia wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kutoka Wizara,
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Ndugu Mosses Raymond akitoa mada kuhusu matumizi ya Akili hisia wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi, Halmashauri za Wilaya na Mikoa yanaofanyika Jijini Arusha. -
Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) kwa lengo la kushiriki Mafunzo hayo yanayofanyika Jijini Arusha -
Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakifuatilia mada mbalimbali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakifuatilia mada mbalimbali zilizotolewa wakati wa mafunzo kwa Mawakili hao yanayofanyika Jijini Arusha. -
Naibu Mkuu wa Shule ya Sheria kwa vitendo, sehemu ya Mafunzo, Utafiti na Ushauri Prof. Clement Mashamba
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Naibu Mkuu wa Shule ya Sheria kwa vitendo, sehemu ya Mafunzo, Utafiti na Ushauri Prof. Clement Mashamba akichokoza mada kuhusu namna ya Kushughulikia Migogoro katika Kusimamia Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili ... -
Afisa Sheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Anna Gabriel akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Sheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Anna Gabriel akitoa mada hukusu namna ya Kushughulikia Migogoro katika Kusimamia Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika ... -
Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji, Ndugu Martin Kolikoli akitoa mada kuhusu Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) katika kukuza Masoko ya Mitaji Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji, Ndugu Martin Kolikoli akitoa mada kuhusu Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) katika kukuza Masoko ya Mitaji Tanzania wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. -
Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Ndugu Peter Nalitolea akitoa mada kuhusu Maarifa ya Kisheria, Utawala Bora na Ulinzi wa Uwekezaji wa Masoko
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Ndugu Peter Nalitolea akitoa mada kuhusu Maarifa ya Kisheria, Utawala Bora na Ulinzi wa Uwekezaji wa Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika ... -
Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akitoa mada kuhusu namna ya kujenga uaminifu katika uendeshaji wa Mashauri ya Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akitoa mada kuhusu namna ya kujenga uaminifu katika uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. -
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue akitoa mada kuhusu Maadili, Uongozi, na Uaminifu katika Utumishi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue akitoa mada kuhusu Maadili, Uongozi, na Uaminifu katika Utumishi wa Umma wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo, akitoa neno la utangulizi wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo, akitoa neno la utangulizi wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) ili azungumze na Mawakili wa Serikali wakati wa mafunzo kwa mawakili ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akitoa neno la ukaribisho kwa Mawakili wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akitoa neno la ukaribisho kwa Mawakili wa Serikali wakati wa mafunzo kwa Mawakili hao yanayofanyika Jijini Arusha. -
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawakili wa Wafawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawakili wa Wafawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunz ohayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha MAKTABA ndugu Kiuye Shemakame wakipima afya
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha MAKTABA ndugu Kiuye Shemakame wakipima afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Afisa Tehama Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Faraja Komba akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Tehama Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Faraja Komba akitoa mada kuhusu Matumizi sahihi ya baadhi ya Mifumo ya Kiutumishi wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Mkufunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Hosea Njovango
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mkufunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Hosea Njovango akitoa mada kuhusu Maadili ya Utumishi wa Umma wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Afisa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bi. Evansia Shirima akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bi. Evansia Shirima akitoa mada kuhusu mazingira wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Neema Mwakasege akitoa mada kuhusu mtindo bora wa Maisha
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Neema Mwakasege akitoa mada kuhusu mtindo bora wa Maisha wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha.