Browsing GALLERY by Author "OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI"
Now showing items 1-20 of 63
-
Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji akielezea lengo la ziara hiyo walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam -
Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud ... -
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda akitoa maelezo mafupi kuhusu namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa ... -
Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Renalda Kabewa
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Renalda Kabewa akichangia mada kuhusu namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-17)Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna (hayupo pichani) walipomtembelea Wakili Mkuu wa ... -
Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi akizungumza
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisi kwake jijini Dar ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) akiwa amevaa skafu ya bendera ya Tanzania mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele) wakati wa kikao ... -
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akitoa neno la shukrani mara baada ya kumaliza kikao cha Watumishi kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani ... -
Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Paul Kisabo
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Paul Kisabo akitoa neno la shukurani mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam. -
Mratibu wa Kongani ya Jinsia wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) Bi. Katharina Kuehn
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mratibu wa Kongani ya Jinsia wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) Bi. Katharina Kuehn akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally ... -
Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini ... -
Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-17)Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) alipomtembelea kwa lengo la kujitambulisha ofisini kwake jijini Dar es salaam. -
Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa kikao na Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika Ofisi kwake ...