Browsing by Subject "Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi"
Now showing items 1-10 of 10
-
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kikao na Watumishi wa Ofisi Hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (aliyeketi kushoto kwake) alipofika Mahakamani hapo kujitambulisha ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka Japan, Mhe. Higuchi Rui
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka Japan, Mhe. Higuchi Rui mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwakwe jijini Dar es Salaam. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kushoto) ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki alipotembelea moja ya ukumbi wa Mahakama hiyo baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama Kuu ya Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama Kuu ya Tanzania alipotembelea Banda la Mahakama ya Tanzania kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, (THRDC)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) walipofika Ofisini kwake jijini Dar ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kwa watumishi hao yaliyofanyika Jijini Arusha