Browsing by Subject "Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo"
Now showing items 1-8 of 8
-
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOFIKA KWENYE MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. Akisaini kitabu cha wageni alipofika kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Kufuatilia utendaji kazi wa Mawakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa ziara ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO, (WA PILI KUSHOTO) AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MANYARA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-20)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama `Kuu Kanda ya Manyara, Mhe Devotha Kamuzora ( aliyesimama katikati) baada ya kikao cha ukaguzi ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO, AKIMSIKILIZA NA KUJADILIANA JAMBO NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA MHE. DKT FRANK MIRINDO.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. akimsikiliza na kujadiliana jambo na kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Mhe. Dkt Frank Mirindo alipofika mahakamani hapo wakati wa ziara yake ya kukagua ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO (WA KWANZA KUSHOTO) AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA, MHE. FRANK MIRINDO
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. (Wa kwanza kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Jaji Mfawidhi wa mahakama Kuu kanda ya Tabora, Mhe. Dkt. Frank Mirindo (aliyesimama katikati) na watumishi wengine ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Masuala ya Itifaki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Masuala ya Itifaki Kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIZUNGUMZA NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MANYARA, MH. DEVOTA KAMUZORA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-20)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo akizungumza na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Manyara, Mhe. Devota Kamuzora alipofika mahakamani hapo wakati wa ziara yake katika ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ...