OSG Repository: Recent submissions
Now showing items 81-100 of 1416
-
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka Japan, Mhe. Higuchi Rui
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka Japan, Mhe. Higuchi Rui mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwakwe jijini Dar es Salaam. -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele) wakati wa kikao ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kushoto) mara ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akipitia moja ya nyaraka kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, aliyopewa na Afisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania Bi.Shibata Yoshino
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akipitia moja ya nyaraka kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, aliyopewa na Afisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania Bi.Shibata Yoshino mara baada ya kikao ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) mara baada ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) akiwa amevaa skafu ya bendera ya Tanzania mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Madai Bw. Deodatus Nyoni (wapili kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora Bi. Mercy Kyamba (wa pili kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Madai Bw. Deodatus Nyoni (wapili kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (wapili ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha wa wanyama watano wanaopatikana Tanzania Afisa Ubalozi wa Japani nchini Tanzania, Bi.Shibata Yoshino
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha wa wanyama watano wanaopatikana Tanzania Afisa Ubalozi wa Japani nchini Tanzania, Bi.Shibata Yoshino mara baada ya kikao kilichofanyika ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kushoto) ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya pembe za Tembo iliyonakishiwa kwa Ramani ya Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya pembe za Tembo iliyonakishiwa kwa Ramani ya Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa ... -
Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa kikao na Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika Ofisi kwake ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisi kwake jijini Dar ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo na Utafiti, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-03)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo na Utafiti, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (hayupo pichani) alipomtembelea Wakili Mkuu wa ... -
Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani ... -
Viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani, Kanda ya Afrika na Tanzania (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani, Kanda ya Afrika na Tanzania (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) wakimsikiliza kwa makini Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi ... -
Wakili Mkuu wa Serikali , Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Wakili Mkuu wa Serikali , Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - ... -
Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi akizungumza
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi ... -
Mratibu wa Kongani ya Jinsia wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) Bi. Katharina Kuehn
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mratibu wa Kongani ya Jinsia wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) Bi. Katharina Kuehn akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally ...