BI. MWAJUMA SIHIYANA, MTUMISHI MSTAAFU WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI AKIZUNGUMZA NA KUTOA NENO LA SHUKRANI KWA WATUMISHI WA OFISI HIYO WAKATI WA HAFLA YA KUMUAGA ILIYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.

Abstract

Prisca Osg Madam: Bi. Mwajuma Sihiyana, mtumishi mstaafu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali akizungumza na kutoa neno la shukrani kwa watumishi wa Ofisi hiyo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akizungumza kwa niaba ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati wa hafla ya kumuaga mtumishi mstaafu wa Ofisi hiyo, Bi. Mwajuma Sihiyana iliyofanyika jijini Dar es Salaam

Description

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By