The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025, Supplement No. 16

dc.contributor.authorMWAMBEGELE, JACOBS C.M
dc.date.accessioned2025-07-16T07:14:57Z
dc.date.available2025-07-16T07:14:57Z
dc.date.issued2025-04-18
dc.description.abstractUchaguzi wa haki, huru, amani na wa kuaminika hutegemea ushirikiano na uadilifu wa wadau muhimu wa uchaguzi katika kutekeleza wajibu wao wakati wa kuendesha kampeni na zoezi la uchaguzi. Kwa kuzingatia kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kushauriana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vyama vyote vya siasa imeandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa lengo la kuweka msingi unaopaswa kuzingatiwa na washiriki wa uchaguzi pamoja na hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa atakayekiuka Kanuni hizi.en_US
dc.identifier.urihttps://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1942
dc.publisherGOVERNMENT PRINTER DODOMAen_US
dc.subjectSupplement No. 16en_US
dc.titleKANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025, Supplement No. 16en_US
dc.title.alternativeTUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZIen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
GN NO. 249 OF 2025 -KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA, 2025.pdf
Size:
688.33 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: