The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA MAGARI MATANO KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI KWA KAMPUNI YA EAST AFRICAN CRUDE OIL PIPELINE LIMITED YA MWAKA, GN: NO. 325 OF2024

Loading...
Thumbnail Image

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

GOVERNMENT PRINTER DODOMA

Abstract

Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Magari Matano kwa ajili ya Utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kwa Kampuni ya East African Crude Oil Pipeline Limited ya mwaka 2024 na itachukuliwa kuwa ilianza kutumika kuanzia tarehe 6 Machi, 2024.

Description

Citation

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By