The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

Loading...
Thumbnail Image

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tume ya Taifa ya Mipango, Government Printers

Abstract

Description

"Tanzania inataraiiwa kukamilisha rasmi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, ifikapo Juni 2026. Kwa kuzingatia Kifungu cha 6(2)(b) cha Sheria ya Tume ya Taifa ya Mipango ya mwaka 2023 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliiagiza Tume ya Taifa ya Mipango kuandaa dira mpya itakayotoa nwelekeo wa safari ya maendeleo ya Taifa kwa kipindi cha miaka ishirini na tano ijayo. Kufuatia agizo rilo. mchakato wa kuandaa Dira 2050 - ulianza rasm Aprili 2023." Prof. Kitila A. Mkumbo.

Keywords

Citation

DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By