AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA MAGARI MAWILI YANAYOINGIZWA NCHINI NA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) KATIKA MRADI WA KUJENGA USTAHIMILIVU WA BIONUAI YA MISITU DHIDI YA MATISHIO YA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI YA MWAKA 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na. 39 LA 2025
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
GOVERNMENT PRINTER DODOMA
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Magari Mawili yanayoingizwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Mradi wa Kujenga Ustahimilivu wa Bionuai ya Misitu dhidi ya Matishio ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi ya mwaka 2024 itaanza kutumika kuanzia tarehe 14 Novemba, 2024

