The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA SABA

dc.contributor.authorOFFICE OF THE SOLICITOR GENERAL, (OSG)
dc.date.accessioned2024-08-28T09:20:21Z
dc.date.available2024-08-28T09:20:21Z
dc.date.issued2023-09-08
dc.description.abstractToleo la Saba la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kutathmini utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake mwaka 2018. Katika kipindi cha miaka mitano, Ofisi inatambua mchango mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katka kuboresha Ofisi hii ili kuiwezesha kuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kuhakikisha inaiwakilisha vyema na kwa weledi mkubwa katika uratibu, usimamizi na uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi yaliyofunguliwa na au dhidi ya Serikali na taasisi zake ndani na nje ya nchi. Aidha, napenda kuishukuru menejimenti na watumishi wote wa Ofisi hii chini ya uongozi wa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Nalija Luhende kwa mchango wao mkubwa wa kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hii kwa kipindi cha miaka mitano tangu kuanzishwa kwake.en_US
dc.identifier.issn2820-2686
dc.identifier.urihttp://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1375
dc.publisherOFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALIen_US
dc.subjectJARIDAen_US
dc.subjectTOLEO LA SABAen_US
dc.titleJARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA SABAen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Jarida la Wakili Mkuu toleo la saba 08.09.2023.pdf
Size:
4.49 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections