The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

MKUTANO MKUU WA MWAKA 2026. WA WATUMISHI WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI.

Abstract

Picha na Matukio ya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2026, wa Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali. Ambapo Wakili Mkuu wa Serikali Dr. Ally Possi amewataka watumishi wa Ofisi hii kuendelea kudumisha umoja, mshikamano na upendo ndani ya taasisi kwa kuwa hii ni afya kwa taasisi na nchi yetu na hili liwe mpaka chini kwa watumishi wote.

Description

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By