MUSWADA WA SHERIA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, TOLEO NA. 12 LA 2023
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
The Government Printer, Dodoma
Abstract
Sheria kwa ajili ya kubainisha muundo, majukumu, utaratibu wa upatikanaji wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sifa za Mkurugenzi wa Uchaguzi, kuweka utaratibu wa uendeshaji wa vikao vya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kuweka masuala mengine yanayohusiana nayo.
Description
Keywords
Citation
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya mwaka, 2023. see sec. 1

