Naibu Wakili Mkuu Atembelea Banda la Tume ya Haki za Binadamu Sabasaba
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Abstract
Description
Keywords
Citation
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyeketi kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma, Mawasiliano, Tafiti na Nyaraka wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bi. Monica Mnanka alipotembelea banda la Tume hiyo wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

