The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

Jarida la wakili mkuu: Toleo la kumi na nne, Mei-Julai, 2025

Loading...
Thumbnail Image

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI

Abstract

Description

Keywords

Citation

Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Toleo la 14 Lina taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ambayo yametekelezwa katika kipindi cha mwezi Mei, 2025 hadi Julai, 2025. Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na wadau imefanikiwa kutekeleza majukumu ambayo yamekasimiwa kisheria kupitia Tangazo la Serikali Na. 50 la mwaka 2018 lililoanzisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali. Ofisi imepewa dhamana ya kusimamia, kuratibu na kuendesha mashauri ya madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali na taasisi zake kwa ufanisi ili kulinda maslahi mapana ya taifa.

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By