The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

MAFUNZO YA MAWAKILI WA SERIKALI WA KUTOKA WIZARA, IDARA, TAASISI ZA SERIKALI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR, JIJINI ARUSHA.

Abstract

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe, Dkt. Juma Homera (Mb) amefungua mafunzo ya ,mawakili wa serikali yanayohusu mawakili wa serikali wa kutoka wizara, idara, taasisi za serikali, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa wa Tanzania Bara na Zanzibar ambayo yanafanyika jijini Arusha. Mafunzo hayo yameandaliwa na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na yanafanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 18 hadi tarehe 20 mei, 2026. Mafunzo hayo yanaongozwa na kauli mbiu isemayo, KULITUMIKIA TAIFA KATIKA UENDESHEJI WA MASHAURI YA MADAI NA USULUHISHI ILI KULINDA MASLAHI MAPANA YA TAIFA KWA AJILI YA KESHO.

Description

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By