The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Akipokea Zawadi Alipotembelea banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Abstract

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Uratibu na Huduma za Kisheria wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bi. Neema Ringo alipotembelea banda la Maonesho la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

Description

Keywords

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By