WAKILI MKUU WA SERIKALI DKT. ALLY POSSI AKIZUNGUMZA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI TANZANIA.

Abstract

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na uongozi wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (hawapo pichani) walipomtembelea Ofisini kwake kujitambulisha jijini Dar-es-Salaam. Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), ndugu Bonaventure P. Mwambaja, akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) baada ya kusaini kitabu cha wageni alipofika kujitambulisha Ofisini kwake jijini Dar-es-Salaam.

Description

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By