SHERIA YA KUFUTA SHERIA YA TASNIA YA PARETO, NA. 4 YA MWAKA 2026
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
The Government Printer, Dodoma by Order of Government
Abstract
Sheria ya kufuta Sheria ya Tasnia ya Pareto na kuweka masharti kuhusu uhamisho wa mali, madeni pamoja na watumishi wa Bodi ya Pareto, kuweka masharti ya mpito na masuala mengine yanayohusiana na hayo.
Description
Keywords
Citation
Sheria hii itajulikana kama Sheria ya kufuta Sheria ya Tasnia ya Pareto ya mwaka 2026.

