Jaji wa Shelisheli na Mhe. Blastol Adeline akifurahia uwepo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali nchini Tanzania
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Abstract
Jaji wa Shelisheli, Mhe. Blastol Adeline aliyesimama pembeni mwa aliyeambatana nae akifurahia uwepo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali nchini Tanzania tofauti na nchini kwao alipotembelea banda la maonesho la Ofisi hiyo wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika Arusha

