SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA, GN: NO. 817 OF 2024
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, ambazo hapa zimerejewa kama “Kanuni kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]