The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI

Loading...
Thumbnail Image

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI

Abstract

Toleo la Kumi la Jarida la Wakili Mkuu ni maalumu kwa ajili ya kuangazia mafanikio ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) katika kipindi kinachoanzia mwezi Januari, 2024 mpaka Machi, 2024 kwa kuzingatia 4R za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inatambua umuhimu wa kuendeleza falsafa ya 4R zilizoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan ambazo ni Maridhiano (Reconciliation), Mabadiliko (Reform), ujenzi mpya (Rebuild) na ustahimilivu (Resilience) kwa kuzingatia maadili haya muhimu yameiwezesha OWMS kuboresha utendaji wake.

Description

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By