Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Abstract
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu chawageni kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Dar es Salaam wakati ziara yake ya kikazi kwenye Ofisi hiyo.

