OSG Repository: Recent submissions
Now showing items 41-60 of 1080
-
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kutembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kuona namna ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera (aliyesimama katikati), Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki alipotembelea moja ya ukumbi wa Mahakama hiyo baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa ... -
Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki inavyofanyakazi alipotembelea Mahakama hiyo Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (aliyeketi kushoto kwake) alipofika Mahakamani hapo kujitambulisha ... -
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud ... -
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na ujumbe wake (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kujitambulisha na kuona namna ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifafanua jambo kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifafanua jambo kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (hayupo pichani) alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujitambulisha na kuona ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt Ally Possi (wa nne kushoto) na ujumbe wake akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt Ally Possi (wa nne kushoto) na ujumbe wake akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (wa nne kulia) baada ya kutembelea ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally possi akipokea zawadi ya Taarifa za Kesi kutoka kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally possi akipokea zawadi ya Taarifa za Kesi kutoka kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujitambulisha ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkabidhi Jarida la Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkabidhi Jarida la Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la Kujitambulisha na kuona namna ... -
SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA), (SURA YA 287), TANGAZO LA SERIKALI NA. 750 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-08-23)Sheria Ndogo hii itajulikama kama Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024 -
SHERIA YA FEDHA YA SERIKALI ZA MITAA, (SURA YA 290) TANGAZO LA SERIKALI NA. 749 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-08-23)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Uanzishaji wa Mfuko wa Afya wa Jamii ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Uanzishaji wa ... -
THE PUBLIC FINANCE ACT, (CAP. 348) GN: NO. 373 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)These Regulations may be cited as the Public Finance (Management of Public Property) Regulations, 2024. -
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA, (SURA YA 410). TANGAZO LA SERIKALI Na. 518 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-06-28)Misingi na Viwango vya Ununuzi, Ugavi na Uondoshaji Mali -
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA, GN: NO. 817 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-09-20)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, ambazo hapa zimerejewa kama “Kanuni kuu”. -
THE PUBLIC PROCUREMENT ACT, GN: NO. 813 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-09-20)This version of the Public Procurement Act, has been translated into English Language, and is published pursuant to section 84(4) of the Interpretation of Law Act, Chapter 1. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao chake na menejimenti hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam.