OSG Repository: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 1080
-
WAKILI WA SERIKALI MKUU NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UADILIFU WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. VIVIAN METHOD
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Wakili wa Serikali Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivian Method akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo( ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO (KATIKATI) AKIWA NA WAJUMBE WA MANEJIMENTI YA OWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa manejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya uadilifu ya ofisi hiyo kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIWA NA WAKUFUNZI WA MAFUNZO.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wakufunzi wa mafunzo kuhusu utekelezaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani. -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA UADILIFU YA OWMS
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kuhusu utekelzaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya nne ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI AFUNGUA MAFUNZO YA UADILIFU
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo amefungua mafunzo kwa kamati ya uadilifu na kwa Menejimenti Maalum ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani kwa muda wa siku mbili kuanzia ... -
THE MINISTERS (ASSIGNMENT OF MINISTERIAL FUNCTIONS) (AMENDMENT) NOTICE, GN: NO. 399 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-24)This Notice may be cited as the Ministers (Assignment of Ministerial Functions) (Amendment) Notice, 2024 and shall be read as one with the Ministers (Assignment of Ministerial Functions) Notice, 2023, hereinafter referred ... -
THE TANZANIA SHIPPING AGENCIES (SHIPPERS REGISTRATION) (AMENDMENT) REGULATIONS,GN: NO. 397 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-24)These Regulations may be cited as the Tanzania Shipping Agencies (Shippers Registration) (Amendment) Regulations, 2024 and shall be read as one with the Tanzania Shipping Agencies (Shippers Registration) Regulations, ... -
THE MERCHANT SHIPPING (ESTABLISHMENT AND OPERATION OF AIDS TO NAVIGATION) (AMENDMENT) REGULATIONS,GN: NO. 395 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-24)These Regulations may be cited as the Merchant Shipping (Establishment and Operation of Aids to Navigation) (Amendment) Regulations, 2024 and shall be read as one with the Merchant Shipping (Establishment and Operation of ... -
THE TANZANIA SHIPPING AGENCIES (CARGO SECURITY AND SAFETY OF TERMINAL OPERATIONS) (AMENDMENT) REGULATIONS,GN: NO. 394 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-24)These Regulations may be cited as the Tanzania Shipping Agencies (Cargo Security and Safety of Terminal Operations) (Amendment) Regulations, 2024 and shall be read as one with the Tanzania Shipping Agencies (Cargo Security ... -
THE ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (INTERNAL REVIEW PROCEDURE) (AMENDMENT) RULES,GN: NO. 393 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-24)These Rules may be cited as the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Internal Review Procedure) (Amendment) Rules, 2024, and shall be read as one with the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Internal ... -
THE WATER SUPPLY AND SANITATION (COMMERCIAL AND COMMUNITY BOREHOLES OPERATIONS) (AMENDMENT) RULES, 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-24)These Rules may be cited as the Water Supply and Sanitation (Commercial and Community Boreholes Operations) (Amendment) Rules, 2024 and shall be read as one with the Water Supply and Sanitation (Commercial and Community ... -
KANUNI ZA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ZA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 390 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024. -
KANUNI ZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 389 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024. -
NOTISI YA KUSUDIO LA KUTANGAZA VIWANGO VYA LAZIMA YA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 386 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024. -
KANUNI ZA HAKI YA FIDIA ZA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 385 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Haki ya Fidia za Mwaka 2024. -
KANUNI ZA UBEBAJI WA SHEHENA YA MIZIGO YABISI NA FUELI ZA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 381 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli za Mwaka 2024. -
KANUNI ZA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA ZA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 380 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Usimamizi wa Mali za Umma za mwaka 2024. -
THE STANDARDS (PROPOSAL FOR DECLARATION OF COMPULSORY STANDARDS) NOTICE, GN: NO. 379 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)This Notice may be cited as the Standards (Proposal for Declaration of Compulsory Standards) Notice, 2024. -
THE MAGISTRATES’ COURTS (KINONDONI DISTRICT COURT) (CONCURRENT JURISDICTION OVER UBUNGO DISTRICT) (REVOCATION) ORDER,GN: NO. 378 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)This Order may be cited as the Magistrates’ Courts This Order may be cited as the Magistrates’ (Kinondoni District Court) (Concurrent Jurisdiction Over Ubungo District) (Revocation) Order, 2024.