SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) (SURA YA 287) GN: NO. 31 OF 2024
Abstract
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya (Usafi wa Mazingira) ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ya Mwaka 2023 na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya (Usafi wa Mazingira) ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ya Mwaka 2019 ambayo hapa imerejewa kama “Sheria Ndogo kuu”