LEGISLATIONS: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 406
-
SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA), (SURA YA 287), TANGAZO LA SERIKALI NA. 750 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-08-23)Sheria Ndogo hii itajulikama kama Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024 -
SHERIA YA FEDHA YA SERIKALI ZA MITAA, (SURA YA 290) TANGAZO LA SERIKALI NA. 749 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-08-23)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Uanzishaji wa Mfuko wa Afya wa Jamii ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Uanzishaji wa ... -
THE PUBLIC FINANCE ACT, (CAP. 348) GN: NO. 373 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-05-17)These Regulations may be cited as the Public Finance (Management of Public Property) Regulations, 2024. -
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA, (SURA YA 410). TANGAZO LA SERIKALI Na. 518 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-06-28)Misingi na Viwango vya Ununuzi, Ugavi na Uondoshaji Mali -
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA, GN: NO. 817 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-09-20)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, ambazo hapa zimerejewa kama “Kanuni kuu”. -
THE PUBLIC PROCUREMENT ACT, GN: NO. 813 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-09-20)This version of the Public Procurement Act, has been translated into English Language, and is published pursuant to section 84(4) of the Interpretation of Law Act, Chapter 1. -
SHERIA YA HUDUMA ZA MASHTAKA YA TAIFA, (SURA YA 430) GN: NO. 37 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-19)Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2024. -
THE NATIONAL PROSECUTIONS SERVICE ACT, (CAP. 430) GN: NO. 36 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-19)This Notice may be cited as the National Prosecutions Service (Appointment of Public Prosecutors) Notice, 2024. -
THE NATIONAL PROSECUTIONS SERVICE ACT, (CAP. 430) GN: NO. 35 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-19)This Notice may be cited as the National Prosecutions Service (Appointment of Public Prosecutors) Notice, 2024. -
THE PORTS ACT, (CAP. 166) GN: NO. 34 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)This Order may be cited as the Ports (Definition of the Ports Limits) Order, 2024. -
SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA), SURA YA 287 GN: NO. 38 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-19)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka 2024. -
SHERIA YA BANDARI, (SURA YA 166) GN: NO. 33 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuainisha Mipaka ya Bandari ya Mwaka 2024. -
SHERIA YA FEDHA YA SERIKALI ZA MITAA, (SURA YA 290) GN: NO. 32 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ya Mwaka 2023. -
SHERIA YA FEDHA ZA SERIKALI ZA MITAA, (SURA YA 290) GN: NO 39 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-19)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka 2024. -
SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) (SURA YA 287) GN: NO. 31 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya (Usafi wa Mazingira) ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ya Mwaka 2023 na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya (Usafi wa Mazingira) ya Halmashauri ya Wilaya ya ... -
SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA MIJI), (SURA YA 288) GN: NO. 30 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Usimamizi wa Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ya Mwaka 2023. -
SHERIA YA FEDHA ZA SERIKALI ZA MITAA, (SURA YA 290) GN: NO. 29 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ya Mwaka 2023. -
SHERIA YA FEDHA ZA SERIKALI ZA MITAA (SURA YA 290) GN: NO. 28 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2023-12-15)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Geita ya Mwaka 2023. -
SHERIA YA UDHIBITI WA USAFIRI ARDHINI, (SURA YA 413) GN: NO. 27 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Vigezo na Masharti Ya Kutoa Huduma Zinazodhibitiwa za Mamlaka Ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024. -
SHERIA YA MAMLAKA YA UDHIBITI USAFIRI ARDHINI, (SURA YA 413) GN: NO. 26 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-01-12)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Utaratibu wa Kushughulikia Malalamiko za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za Mwaka 2024.