Browsing Photos by Issue Date
Now showing items 1-20 of 34
-
Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwasili katika viwanja vya mikutano vya Kimataifa AICC Arusha
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 14-02-20)Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwasili katika viwanja vya mikutano vya Kimataifa AICC Arusha kwa ajili ya kushiriki Kikao hicho. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 2021-02)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua kikao cha kwanza cha Baraza hilo ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 2021-02)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua kikao cha kwanza cha Baraza hilo ... -
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mtani Songorwa, akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza la Wafanyakazi
(2021-02)Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mtani Songorwa, akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza la Wafanyakazi kwa mwaka wa fedha 2021/2022. -
Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwasili katika viwanja vya mikutano vya Kimataifa AICC Arusha
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 2021-02)Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwasili katika viwanja vya mikutano vya Kimataifa AICC Arusha kwa ajili ya kushiriki Kikao hicho. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende, akizungumza na wajumbe wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Arusha.
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 2021-07-02) -
Office of the Solicitor General Library
(2021-07-08) -
Tembo akikatisha barabara ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tangarangire.
(Kitengo cha Habari na Mawasiliano (Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali), 2022-05)Watalii kutoka nchi mbalimbali dunia, wakifurahia kumtazama Tembo wakati akikatisha barabara ndani ya -
Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi
(Kitengo cha Habari na Mawasiliano (Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali), 2022-05)Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ikiwa ni mpango wa kuunga mkono juhudi ... -
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja
(Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-05) -
Sehemu ya Watumishi wa OWMS wakipata viburudisho mara baada ya kuwasili katika eneno la kumpumzika wageni maarufu kama Picnic
(Kitengo cha Mawasiliano Serikalini; Ofisi ya Wakili Mkuu wa serikali, 2022-05-28)Sehemu ya Watumishi wa OWMS wakipata viburudisho mara baada ya kuwasili katika eneno la kumpumzika wageni maarufu kama Picnic lililopo katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. -
Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii
(Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-05-28)Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii zenye majina ya Hifadhi za Taifa zinazopatikana nchini. -
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipokea jarida, nyaraka na zawadi kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipokea jarida, nyaraka na zawadi kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende. alipotembelea Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Dar es Salaam ... -
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende kuhusu Maktaba.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende kuhusu Maktaba ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa ziara yake ya kikazi ... -
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu chawageni kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Wakili Mkuu ... -
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mkutano
(OWMS, 2023-10)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mkutano wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika Arusha -
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Changá (kulia) na Alicia Mbuya, (katikati) akiwa na Mercy Kyamba, Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Changá (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Alicia Mbuya aliyewahi kushika nafasi hiyo (katikati) akiwa ... -
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma
(OWMS, 2023-10-23)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mkutano wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika Arusha. Kulia ni Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, ... -
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Chang’a akikabidhi Jarida la Ofisi kwa Alicia Mbuya kwenye banda, Arusha
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Chang’a akikabidhi Jarida la Ofisi hiyo kwa Alicia Mbuya aliyewahi kushika nafasi hiyo wakiwa kwenye banda ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakihudhuria mkutano wa ...