MUSWADA WA SHERIA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI TOLEO NA. 10 LA 2023
Abstract
Sheria inayoweka masharti ya kusimamia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, kufuta Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, 1985 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, 1979 na kuweka masharti mengine yanayohusiana nayo.