Browsing GALLERY by Title
Now showing items 1-20 of 36
-
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii
(Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-05-28)Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii zenye majina ya Hifadhi za Taifa zinazopatikana nchini. -
Jaji Kiongozi, Mhe. Mustapher Siyani akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikal
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji Kiongozi, Mhe. Mustapher Siyani akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akimpa maelezo kuhusu utendaji wa Ofisi hiyo alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ... -
Jaji Mkuu wa Malawi, Mhe. Rizine Mzikamanda akisaini kitabu cha wageni
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji Mkuu wa Malawi, Mhe. Rizine Mzikamanda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika ... -
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Arusha), Mhe. Nyigulila Mwaseba akisaini kitabu cha wageni.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Arusha), Mhe. Nyigulila Mwaseba akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Jaji wa Shelisheli na Mhe. Blastol Adeline akifurahia uwepo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali nchini Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Shelisheli, Mhe. Blastol Adeline aliyesimama pembeni mwa aliyeambatana nae akifurahia uwepo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali nchini Tanzania tofauti na nchini kwao alipotembelea banda la maonesho la Ofisi hiyo ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye banda la maonesho la Ofisi hiyo ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakihudhuria mkutano wa ... -
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Changá (kulia) na Alicia Mbuya, (katikati) akiwa na Mercy Kyamba, Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Changá (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Alicia Mbuya aliyewahi kushika nafasi hiyo (katikati) akiwa ... -
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Chang’a akikabidhi Jarida la Ofisi kwa Alicia Mbuya kwenye banda, Arusha
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Chang’a akikabidhi Jarida la Ofisi hiyo kwa Alicia Mbuya aliyewahi kushika nafasi hiyo wakiwa kwenye banda ... -
Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akifafanua jambo kwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Augustine Mwarija
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akifafanua jambo kwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Augustine Mwarija alipotembelea banda la maonesho la Ofisi hiyo wakati ... -
Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akifafanua jambo kwa Mwakilishi wa Tume ya VENICE wa Italy
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akifafanua jambo kwa Mwakilishi wa Tume ya VENICE wa Italy na Ufaransa, Qianni Buqvicchio alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ... -
Mkurugenzi wa Mashataka, Slyvester Mwakitalu akiweka saini
(OFFICE OF THE SOLICITOR GENERAL, 2023-10-23)Mkurugenzi wa Mashataka, Slyvester Mwakitalu akiweka saini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye mkutano wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Mkurugenzi wa Mashataka, Slyvester Mwakitalu akiweka saini
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Mkurugenzi wa Mashataka, Slyvester Mwakitalu akiweka saini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye mkutano wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mtani Songorwa, akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza la Wafanyakazi
(2021-02)Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mtani Songorwa, akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza la Wafanyakazi kwa mwaka wa fedha 2021/2022. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 2021-02)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua kikao cha kwanza cha Baraza hilo ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(THE OFFICE OF SOLICITOR GENERAL, 2021-02)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua kikao cha kwanza cha Baraza hilo ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende, akizungumza na wajumbe wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi
(Ofisi ya Wakili Mkuu waSerikali, 2021-09)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende, akizungumza na wajumbe wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Arusha