GAZETI BEI SH. 1,000/= LA MWAKA WA 102 03 Septemba, 2021 TOLEO NA. 36 YALIYOMO Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA O Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama Gazeti ISSN 0856 - 0323 Kuthibitishwa Kazini ....................................... Na. 1439 1 Notice re Supplements .............................. Na. 1440 2 Tangazo la Siku ya Uteuzi ........................... Na. 1441 2 Tangazo la Siku ya Kupiga Kura ................ Na. 1442 2 Notice of Appointment ................................. Na. 1443 2 Kupotea kwa Hati ya Makazi ................... Na.1444/51 2/4 Kupotea kwa Leseni ya Makazi .............. Na. 1452 4 Kupotea kwa Barua ya Toleo la kumiliki Ardhi ........................................... Na. 1453 4 Kumilikishwa Kiwanja................................Na. 1454 4 Appointment of Valuer ............................. Na. 1455 5 Appointment of Authorised Officer.....Na.1456/ 9 5/6 Taarifa ya Kawaida Uk. DODOMA TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1439 KUTHIBITISHWA KAZINI OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI) HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO Kuwa Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasialiano kuanzia tarehe 01/05/2021 Nurdin Abdallah Ndimbe WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI (RITA) Kuwa Dereva Mwandamizi daraja la II kuanzia tarehe 1/06 2003 Raymond A. Mushi Kuwa dereva daraja la I kuanzia tarehe 29/06/2010 Davis Dawson Temu Kuwa Afisa Usajili daraja la II kuanzia tarehe 11/08/2011 Mwemezi M. Kamugisha Kuwa dereva daraja la II kuanzia tarehe 1/04/2016 Sadiki T. Ndemeke Kuwa Afisa Usajili daraja la II kuanzia tarehe 4/08/2016 William F. Mugasha Kuwa Katibu Mahsusi daraja la III kuanzia tarehe 21/052019 Nurusat N. Rwakibanda Kuwa Dereva daraja la II kuanzia tarehe 23/05/2019 Maombi ya Matumizi ya Maji ............. Na.1460 7/12 Usajili wa Vyama vya Ushirika ............. Na. 1461 13 Kampuni inayotarajia kufutwa katika Daftari la Makampuni ......................................... Na. 1462/7 13/4 Kampuni iliyofutwa katika Daftari la Makampuni ........................................... Na. 1468 14 Special resolution ............................ Na. 1469/70 14 General Meeting .............................. Na. 1471/3 14 Appointment of Liquidator ................ Na. 1474 15 Winding up ......................................... Na. 1475 15 Miscellinous Civil Cause .............. Na. 1476 16 Business Registration ....................... Na. 1477/8 16 Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi ..... Na.1479/80 17 Deed Poll ....................................................Na. 1481 17 Inventory of Unclaimed Property ......... Na. 1482/4 18/21 Taarifa ya Kawaida Uk. GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 20212 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1440 Notice is hereby given that Regulations,Order Notice and Rules, Act as Set out below, have been issued and are published in Subsidiary Legislation Supplement No. 35 dated 27th August, 2021 to this number of the Gazette:- Regulation under The Tanzania Meteorological Authority (Cost Recovery On Meteorological Services) (Government Notice No. 642 of 2021). Regulation under The Tanzania Meteorological Authority (Complaints Handling Procedures) (Government Notice No. 643 of 2021). TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1441 TANGAZO LA SIKU YA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA KONDE - ZANZIBAR NA JIMBO LA USHETU SHINYANGA (Chini ya kifungu cha 37 (1) (b) na (5) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343) Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (1) (b) na (5) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaujulisha umma na vyama vya siasa kuwa uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde - Zanzibar na Jimbo la Ushetu, Shinyanga utafanyika siku ya Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2021. Hivyo basi, watu wote wenye nia ya kugombea Ubunge katika majimbo tajwa, wawasilishe fomu zao za uteuzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo husika siku ya uteuzi kabla ya saa kumi kamili (10:00) jioni. JAJI (R) (MST.) SEMISTOCLES S. KAIJAGE MWENYEKITI TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DAR ES SALAAM 23 Agosti, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1442 TANGAZO LA SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA KONDE, ZANZIBAR NA JIMBO LA USHETU, SHINYANGA (Chini ya kifungu cha 46 (2) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343) Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatangaza kuwa siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Zanzibar na Jimbo la Ushetu, Shinyanga ni tarehe 9 Oktoba, 2021 kuanzia saa moja kamili (1:00) asubuhi hadi saa kumi kamili (10:00) jioni. JAJI (R) (MST.) SEMISTOCLES S. KAIJAGE MWENYEKITITUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DAR ES SALAAM 23 Agosti, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1443 THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, 1977 NOTICE APPOINTMENT OF CHIEF COURT ADMINISTRATOR, AMBASSADORS AND CHIEF OF STAFF OF THE TANZANIA PEOPLE'S DEFENCE FORCES It is hereby notified for general information that, the following having been appointed Chief Court Administrator, Ambassadors and Chief of Staff of the Tanzania People's Defence Forces by the PRESIDENT, took prescribed oaths on the 21st day of August, 2021 before entering upon duties of their respective Offices:- (i) Prof Elisante Ole Gabriel Laizer Chief Court Administrator (ii) Lt. Gen. Yacoub Hassan Mohamed Ambassador - Turkey (iii) Mr. Mahmoud Thabit Kombo Ambassador - Italy (iii) Ms. Elsie Sia Kanza Ambassador - USA (iii) Lt. Gen. Mathew Edward Mkingule Chief of Staff of the Tanzania People’s Defence Forces AMBASSADOR HUSSEIN A. KATANGA SECRETARY TO CABINET STATE HOUSE DAR ES SALAAM 21st August, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1444 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 18809 - DLR Mmiliki aliyeandikishwa:AMINA RASHID MWINYIMVUA S.L.P 1733, IRINGA Ardhi: Kiwanja Na. 15 Kitalu ‘YY’ Chang’ombe Extension Manispaa ya Dodoma Muombaji: JAMINA RASHID MWINYIMVUA S.L.P 1733, IRINGA TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 3 HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1062, Dodoma Dodoma, G.W. MAUYA, 25 Agosti, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1445 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 4812 Mmiliki aliyeandikishwa: CHARLES AIWINIA SHAO, WA S.L.P 768 ARUSHA Ardhi: Kiwanja Na. 411 Kitalu ‘X’ Area ‘F’, Manispaa ya Arusha Muombaji: TUSUPH CHARLES (MSIMAMIZI WA MIRATHI YA MAREHEMU) CHARLES AIWINIA SHAO, WA S.L.P 768 ARUSHA TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 3194, Arusha Arusha, JULIANA NGONYANI, 9 Agosi, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Arusha TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1446 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 20925 Mmiliki aliyeandikishwa:IGNAS PAUL KITUSI wA S.L.P 9004, DAR ES SALAAM Ardhi: L.O. No. 206797 Kiwanja Na. 2 Kitalu ‘D’ Section ‘F’ Manispaa ya Moshi Muombaji: IGNAS PAUL KITUSI wA S.L.P 9004, DAR ES SALAAM TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, S. L. P. 190, Moshi Moshi, BWIJO MOHAMED, 10 Machi, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1447 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 32603 Mmiliki aliyeandikishwa:HASSAN JUMA HASSAN MTUNGATTAH and SHIDA MOHAMED MABUNHI P.O BOX 667, MTWARA Ardhi: Kiwanja Na. 143 & 145 Kitalu ‘3’ Viwandani Mtwara Mjini Muombaji: HASSAN JUMA HASSAN MTUNGATTAH and SHIDA MOHAMED MABUNHI P.O BOX 667, MTWARA TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 877, Mtwara. Mtwara, MPOKI MWALUFUNDA, 23 Aprili, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Mtwara TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1448 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 19766 - DLR Mmiliki aliyeandikishwa: MOHAMED AHMED ALJABIRY S.L.P 2699 DAR ES SALAAM Ardhi: Kiwanja Na.30 Kitalu ‘C’ Kikuyu West Manispaa ya Dodoma Muombaji: MOHAMED AHMED ALJABIRY S.L.P 2699 DAR ES SALAAM TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1062, Dodoma. Dodoma, EDWARD MAKORI, 20 Agosti, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1449 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 20214 Muombaji: TELAGRI INVESTMENT LIMITED, WA S.L.P 3, TANDAHIMBA TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 877, Mtwara Mtwara, MPOKI MWALUFUNDA 2 Septemba, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi Mkoa wa Mtwara TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1452 KUPOTEA KWA LESENI YA MAKAZI Sheria ya Usajili wa Nyaraka (Sura 117) Namba ya Leseni: TMK029147 Mmiliki aliyeandikishwa: MERY ALEX TARIMO Namba ya Kiwanja: TMK/CHB/MCH24/56 Muombaji: MERY ALEX TARIMO Taarifa Imetolewa kwamba Umiliki wa iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Nakala ya Leseni ya Makazi iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. Na isitumike kwa Dhamana ya aina yoyote ile Leseni ya Makazi ya Asili ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Nyaraka Msaidizi, S. L. P. 46343 Temeke, Dar es Salaam. E.R. PALLANGYO Msajili Msaidizi wa nyaraka Manispaa ya Temeke TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1453 KUPOTEA KWA BARUA YA TOLEO YA HAKI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999 (Sura 113) Namba ya Barua : CDA/ED/LA-15/40265 Mmiliki aliyeandikishwa: ROMA MAMBA WA S.L.P 149 DODOMA Ardhi: Kiwanja Na. 30 Kitalu ‘J’ , Chidachi North Jina la Mwombaji: MR. MLINDWA MLEWA LUPONDELO NA MRS. RAHEL MLINDWA MLEWA WA S.L.P 1956 DODOMA TAARIFA INATOLEWA kwamba BARUA ya Toleo ilichotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Nakala Mbadala ya Barua hiyo, iwapo hakuna pingamizi kwa muda siku thelathini (30) tokea tarehe ya taarifa hii ilipotangazwa katika (Sura 334) Hati Nambari: 29324 Mmiliki aliyeandikishwa: ZAMCARGO LIMITED WA S.L.P 9343 KINONDONI, DAR ES SALAAM Ardhi: Kiwanja Na. 1661 ‘-’ Msasani, Kinondoni Muombaji: ZAMCARGO LIMITED WA S.L.P 9343 KINONDONI, DAR ES SALAAM TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1191, Dar es Salaam. Dar es Salaam, JOANITHA KAZINJA, 14 Agosti, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1450 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 7301 - DLR Mmiliki aliyeandikishwa: RICHARD CHARLES MAVERE, WA S.L.P 1707, DODOMA Ardhi: Kiwanja Na. 13 Block ‘HH’ Mlimwa East (Area D), Manispaa ya Dodoma Muombaji: RICHARD CHARLES MAVERE, WA S.L.P 1707, DODOMA TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1062, Dodoma Dodoma, G..W. MAUYA 2 Septemba, 2021 Msajili wa Hati Msaidizi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1451 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 27045 - MTW Mmiliki aliyeandikishwa: TELAGRI INVESTMENT LIMITED, WA S.L.P 3, TANDAHIMBA Ardhi: Kiwanja Na. 95 and 96 Kitalu ‘I’ Viwandani Mtwara Mjini GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 69 Gazeti la Serikali. BARUA YA TOLEO NKALA HALISI ikionekana, irudishwe kwa Mkurugenzi wa Halamshauri ya Jiji S. L. P. 1249, Dodoma Dodoma, PENDO MALEWA, 26 Agosti, 2021 Afisa Ardhi Mteule TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1454 KUMILIKISHWA KIWANJA CHENYE Kumb: Na. LD/ TM/KIG/34/741 Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999 Ardhi: Kiwanja Na.741 Kitalu ‘34’ Kigamboni Manispaa ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam Mwombaji: HELMAN SYLIVESTER KAYEMBESI. TAARIFA INATOLEWA kwamba ndugu HELMAN SYLIVESTER KAYEMBESI katika kiwanja tajwa hapo juu na ninakusudia kutoa Miliki ya Ardhi, iwapo hakuna pingamizi litakalotolewa kwa muda wa mwezi mmoja tangu tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika gazeti Kama kutatokea pingamizi lolote taarifa ifikishwe kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni S.L.P 36009 Dar es Salaam. G, SIMIYU, Kny: Mkurugenzi wa Manispaa Kigamboni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1455 THE VALUATION AND VALUERS REGISTRATION ACT, 2016 (N0.7 OF 2016) APPOINTMENT OF AUTHORIZED VALUER (Under Section 10) I, EVELYNE BARUTI MUGASHA, Chief Valuer in terms of Section 11 of the Act HEREBY AUlHORIZE, ANGELINA MAKAME BAULENI of Chief Valuers office to have jurisdiction in Singida Region as Regional Authorized Valuer to perform the function as contained in the Valuation (Functions of Authorized Valuer) Regulations, 2018 published in the Government Notice No.136 of 23th March,2018. TAKE NOTE: (i) This appointment shall be withdrawn by the Chief Valuer upon failure to per- form satisfactorily the delegated func- tion and/or upon performing unauthorized functions. EVELYNE BARUTI MUGASHA CHIEF VALUER DODOMA 18th August, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1456 THE LAND ACT 1999 (NO. 4 OF 1999) APPOINTMENT OF AUTHORISED OFFICER (Under Section 11 (5) I, NATHANIEL NHONGE MATHEW, Commissioner for Lands in terms of Section 11SUB-SECTION 5 of the Land Act (Cap 113) hereby APPOINT JANE BALTAZAR MBUYA of TANGA CITY COUNCIL to have POWERS to perform the functions of an AUTHORIZED OFFICER as contained in the Land (Functions of Authorized Officers) Regulations, 2001 published in the Government Notice No. 76 of 4th May, 2001. TAKE NOTE: (i) This appointment is open subject to instruction by the Assistant Com- missioner for Lands in the respective area assigning you area of jurisdiction. (ii) This appointment will automati- cally expire upon withdrawal of the powers by the Commissioner for Lands. (iii) This appointment is subject to adherence to daily additional duties and responsibilities that needs to comply with client service charter provision. Particularly is to be assessed in the Open Performance Review and Appraisal Form as hereunder attached (Duties Incidental to the Appointment of Authorised Officers). NATHANIE NHONGE MATHEW COMMISSIONER FOR LANDS DODOMA 25th August, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1457 THE LAND ACT 1999 (NO. 4 OF 1999) APPOINTMENT OF AUTHORISED OFFICER (Under Section 11 (5) I, NATHANIEL NHONGE MATHEW, Commissioner for Lands in terms of Section 11SUB-SECTION 5 of the Land Act (Cap 113) hereby APPOINT MFWIMI ABRAHAM MWASHINGA of ITIGI DISTRICT COUNCIL to have POWERS to perform the functions of an AUTHORIZED OFFICER as contained in the Land (Functions of Authorized Officers) Regulations, 2001 published in the Government Notice No. 76 of 4th May, 2001. TAKE NOTE: (i) This appointment is open subject to instruction by the Assistant Com- missioner for Lands in the respective area assigning you area of jurisdiction. 5 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (ii) This appointment will automati- cally expire upon withdrawal of the powers by the Commissioner for Lands. (iii) This appointment is subject to adherence to daily additional duties and responsibilities that needs to comply with client service charter provision. Particularly is to be assessed in the Open Performance Review and Appraisal Form as hereunder attached (Duties Incidental to the Appointment of Authorised Officers). NATHANIE NHONGE MATHEW COMMISSIONER FOR LANDS DODOMA 25th August, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1458 THE LAND ACT 1999 (NO. 4 OF 1999) APPOINTMENT OF AUTHORISED OFFICER (Under Section 11 (5) I, NATHANIEL NHONGE MATHEW, Commissioner for Lands in terms of Section 11SUB-SECTION 5 of the Land Act (Cap 113) hereby APPOINT DAMAS FALIN MWAKINDINGO of NZEGA TOWN COUNCIL to have POWERS to perform the functions of an AUTHORIZED OFFICER as contained in the Land (Functions of Authorized Officers) Regulations, 2001 published in the Government Notice No. 76 of 4th May, 2001. TAKE NOTE: (i) This appointment is open subject to instruction by the Assistant Com- missioner for Lands in the respective area assigning you area of jurisdiction. (ii) This appointment will automati- cally expire upon withdrawal of the powers by the Commissioner for Lands. (iii) This appointment is subject to adherence to daily additional duties and responsibilities that needs to comply with client service charter provision. Particularly is to be assessed in the Open Performance Review and Appraisal Form as hereunder attached (Duties Incidental to the Appointment of Authorised Officers). NATHANIE NHONGE MATHEW COMMISSIONER FOR LANDS DODOMA 25th August, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1459 THE LAND ACT 1999 (NO. 4 OF 1999) APPOINTMENT OF AUTHORISED OFFICER (Under Section 11 (5) I, NATHANIEL NHONGE MATHEW, Commissioner for Lands in terms of Section 11SUB-SECTION 5 of the Land Act (Cap 113) hereby APPOINT SIMON NICESTAC MOSHA of MULEBA DISTRICT COUNCIL to have POWERS to perform the functions of an AUTHORIZED OFFICER as contained in the Land (Functions of Authorized Officers) Regulations, 2001 published in the Government Notice No. 76 of 4th May, 2001. TAKE NOTE: (i) This appointment is open subject to instruction by the Assistant Com- missioner for Lands in the respective area assigning you area of jurisdiction. (ii) This appointment will automati- cally expire upon withdrawal of the powers by the Commissioner for Lands. (iii) This appointment is subject to adherence to daily additional duties and responsibilities that needs to comply with client service charter provision. Particularly is to be assessed in the Open Performance Review and Appraisal Form as hereunder attached (Duties Incidental to the Appointment of Authorised Officers). NATHANIE NHONGE MATHEW COMMISSIONER FOR LANDS DODOMA 25th August, 2021 03 Septemba, 20216 MAOMBI YA VIBALI VYA KUTUMIA MAJI TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1460 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 7 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 20218 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 9 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 202110 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 11 RENATUS J. SHUNHU AFISA MAJI GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 202112 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 13 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1461 BC.69/372/01/05 TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA AMRI YA SERIKALI JUU YA VYAMA VYA USHIRIKA SHERIA YA VYAMA VYA USHIRIKA NA.6 YA MWAKA 2013 TAARIFA YA KUSAJILIWA KWA CHAMA KIKUU CHA MKOA WA GEITA (GCU LTD) NA MGAWANYO WA MALI ZA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA NYANZA COOPERATIVE UNION (1984) LTD KWA CHAMA KIPYA CHA GEITA COOPERATIVE UNION LTD NA SIMIYU COOPERATIVE UNION (2018) LTD Mimi Dkt. BENSON OTIENO NDIEGE, Mrajis wa Vyama vya Ushirika kwa mujibu wa kifungu cha. 29 (2) cha Sheria ya Vyama vya Ushirika Na.6 ya Mwaka 2013 na Kanuni ya 14 (1-2) ya Kanuni za Vyama vya Ushirika za mwaka 2015 nimeridhika kwamba CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA GEITA CO- OPERATIVE UNION LTD (GCU LTD) chenye namba ya usajili 5600 na SIMIYU COOPERATIVE UNION LTD (SIMCU 2018 Ltd) vimekidhi vigezo vya kusajiliwa kuwa Vyama kikuu vya Ushirika kwa namba za Usajili 5600 kwa GCU Ltd na 5603 kwa SIMCU Ltd kuanzia tarehe 16/5/2018. Kutokana na kuwa Vyama hivi vimetokana na kugawanyika kwa Chama kikuu cha Ushirika cha NYANZA COOPERATIVE UNION LTD (NCU 1984 Ltd) baada ya Serikali kuanzisha Mikoa mipya ya Geita na Simiyu kwa mujibu wa maazimio ya Mkutano Mkuu wa Wanachama wa NCU LTD uliofanyika Mkoani Mwanza tarehe 19/03/2021, Mali zote za NYANZA COOPERATIVE UNION LTD (NCU LTD) zilizopo katika Mkoa wa Geita zitamilikiwa na GEITA COOPERATIVE UNION LTD (GCU LTD) na zilizopo Mkoa wa Simiyu zitamilikiwa na SIMIYU COOPERATIVE UNION LIMITED (SIMCU LTD) kuanzia tarehe 31/ 01/2019, baada ya mgawanyo huo kufanyika. Orodha ya mgawanyo huo imeambatishwa pamoja na taarifa hii. Imetiwa Saini na mimi hapa Dodoma leo Siku ya Jumatatu tarehe Ishirini na Moja Mwezi Juni Mwaka Elfu Mbili na Ishirini na moja. DKT. BENSON O. NDIEGE MRAJIS WA VYAMA VYA USHIRIKA TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1462 KAMPUNI INAYOTARAJIWA KUFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu cha 400(3) cha Sheria ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo itafutwa katika daftari la Makampuni iwapo hakutatokea kipingamizi cho chote baada ya siku 90 kupita tokea tarehe ya ilani hii:- CTM TANZANIA LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1463 KAMPUNI INAYOTARAJIWA KUFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu cha 400(3) cha Sheria ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo itafutwa katika daftari la Makampuni iwapo hakutatokea kipingamizi cho chote baada ya siku 90 kupita tokea tarehe ya ilani hii:- CARIAPLAS LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1464 KAMPUNI INAYOTARAJIWA KUFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu cha 400(3) cha Sheria ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo itafutwa katika daftari la Makampuni iwapo hakutatokea kipingamizi cho chote baada ya siku 90 kupita tokea tarehe ya ilani hii:- CHELSEA RESIDENCES LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1465 KAMPUNI INAYOTARAJIWA KUFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu cha 400(3) cha Sheria ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo itafutwa katika daftari la Makampuni iwapo hakutatokea kipingamizi cho chote baada ya siku 90 kupita tokea tarehe ya ilani hii:- ALPHALEO MINING LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1466 KAMPUNI INAYOTARAJIWA KUFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu cha 400(3) cha Sheria GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 202114 ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo itafutwa katika daftari la Makampuni iwapo hakutatokea kipingamizi cho chote baada ya siku 90 kupita tokea tarehe ya ilani hii:- PRINCESS BET LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1467 KAMPUNI INAYOTARAJIWA KUFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu cha 400(3) cha Sheria ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo itafutwa katika daftari la Makampuni iwapo hakutatokea kipingamizi cho chote baada ya siku 90 kupita tokea tarehe ya ilani hii:- GLOBAL FOOD (TANZANIA)LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1468 KAMPUNI ILIYOFUTWA KATIKA DAFTARI LA MAKAMPUNI Sheria ya Makampuni (NA. 12 YA 2002) Imetolewa Ilani chini ya kifungu 400(5) cha Sheria ya Makampuni kwamba Kampuni ifuatayo imefutwa katika daftari la Makampuni tokea tarehe ya ilani hii. GREENREGION CO. LIMITED S. KASERA, Msajili Msaidizi Mkuu wa Makampuni TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1469 SALAMANCA RISK MANAGEMENT LIMITED COMPANY NO. 86876 AN EXTRACT FROM THE MINUTES OF THE EXTRA-ORDINARY GENERAL MEETING OF THE MEMBERS OF ABOVE COMPANY DULY CONVENED, HELD AND CONSTITUTED AT THE REGISTERED OFFICE OF THE COMPANY ON 1st MARCH 2021 SPECIAL RESOLUTION "RESOLVED THAT the consent of the members of the Company be and is hereby accorded to the Board of directors to make an application to the Registrar of Companies, under the provisions of Section 400 of the Companies Act, 2002 for striking off the name of the Company from the Register of Company and the Board of directors of the Company be and is hereby authorized to do all such, matters, deeds and things as may be required under the provisions of the Companies Act, 2002 and the rules made there under. "RESOLVED FURTHER THAT any Director of the Company be and is hereby authorized to make an application in this regard and to take all necessary actions as may be required to strike off the name of the Company." CERTIFIED TRUE EXTRACT .............................. ........................... CHAIRMAN SECRETARY DATE 1st MARCH, 2021 DATE 1st MARCH, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1470 M/S JIANGXI CENTURY (TANZANIA) LIMITED COMPANY NO :100864 RESOLUTION FOR WINDING UP EXTRACT FROM THE MINUTES OF THE EXTRA- ORDINARY MEETING OF THE COMPANY HELD AT PLOT NO. 438 MIKOCHENI, KINONDONI DISTRICT DAR ES SALAAM, ON 06th SEPTEMBER 2021 . IT WAS UNANIMOUSLY RESOLVED THAT: A. that the company be and is hereby voluntarily wound up by its members with effect from the date of this Resolution due to poor business position. B. That the company has no assets generated during its existence. That the members of the company wish to notify the general public that the company ceases to operate as from the date of this Resolution. The Registrar of companies (BRELA) and the relevant government Authorities are hereby notified of this Voluntary Winding up. We hereby certify the above to be a true extract of the minutes of the Company. Dated at Dar es Salaam 06th day of September 2021 .......................... ............................ CHUNHUA ZHU SHIJIE WU CHAIRMAN SECRETARY TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1471 CLASIC CAR COURT CO. LTD (COMPANY NO. 95825) NOTICE OF FINAL GENERAL MEETING A notice is hereby given that members final general meeting of Clasic Car Court Company LTD will be held in terms of Section 345 (1) and (2) of the Companies Act 2002 at the registered office of the Company on 10th September 2021at 10:00am for the purpose of receiving the liquidators report. LIQUIDATOR KENETH NCHIMBI TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1472 IN THE MATTER OF ACCENTURE CONSULTING SERVICES LIMITED (VOLUNTARY LIQUIDATION) NOTICE OF FINAL MEETING AND DISSOLUTION IT IS HEREBY NOTIFIED THAT pursuant to section 345 of the Companies Act, 2002 [Cap 212 R.E 2002] the previously postponed final meeting of the members for the purposes of laying down the accounts and giving any explanations thereof with respect to the voluntary winding up of Accenture Consulting Services Limited (the "Company") will be held on 30 September, 2021. The meeting will be held at 11:00 am at the offices of ARS LAW & ADVISORIES, 1st Floor, Oysterbay Shopping & Office Complex, Plot No. 344, House No. 1, Ghuba Road, Dar es Salaam, through teleconference. The Agenda of the meeting will be laying of the account of winding up of the Company and giving any explanation thereof on closure of the Company. If any person has interest, is advised to contact the liquidator at the below address within thirty (30) days of this notice. Shamiza Ratansi 1st Floor, Oysterbay Shopping & Office Complex, Plot No. 344, House No. 1, Ghuba Road, P. O. Box 23262, Dar es Salaam TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1473 TEHAMA TTC COMPANY LIMITED COMPANY NUMBER. 149796355 BUSINESS REGIS'TRATIONS AND LICENSING AGENCY RETURN OF FINAL MEETING IN A MEMBERS' VOLUNTARY WINDING-UP PURSUANT TO SECTION 345 OF THE COMPANIES ACT 2002 HELD AT THE HEAD OFFICE PWANI, BAGAMOYO DATED 02/09/2021 Final meeting of company to winding-up pursuant to section 345 ofthe company act 2002 was held at 02/09/2021 at the head office Pwani, Bagamoyo an director resolved to winding-up of company because fail to operating a business and influence same ofactivate of'the director to be stopped. DATED AT 02/09/2021 RAMADHANI JUMA MWATIMA ALLEN FESTO TARIMO CHAIRMAN SECRETARY GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 2021 15 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1474 BROOKSIDE DAIRY TANZANIA LIMITED INCORPORATION NO: 41106 ('THE COMPANY") NOTICE OF APPOINTMENT OF A LIQUIDATOR BY THE COURT NOTICE IS HEREBY GIVEN to the Creditors, Contributories and the General Public that pursuant to Section 294 of the Companies Act No. 12 of 2002, the. High Court of Tanzania (Commercial Division), Honorable DR; NANGELA J, on the 20th day of August, 2021 has appointed me, DR. ERASMO NYIKA, the Liquidator ofthe Company. This notification is hereby issued to all parties concerned and who have claims against the Company. DR. ERASMO NYIKA THE LIQUIDATOR BROOKSIDE DAIRY TANZANIA LIMITED TAARIFA YA KAWAIDA NA.1475 COLLAND COMPANY LIMITED P.O.BOX 60048, 0767 553342 DAR ES SALAAM, TANZANIA NOTICE OF VOLUNTARY WINDING UP THE COMPANY. NOTICE is hereby given to the general public that the shareholders of the company duly incorporate in Tanzania, passed resolutions on 25th March, 2021 to; 1. NOTED: that the company cease to carry on business and that carry on no activities. 2. The company gives notice of its intention to apply for them dissolution in the Government Gazette and published and distributed as near as may be to the company. 3. NOTED: Resolved further, the remaining Assets will be distributed accordingly. 4. RESOLVED: It is hereby resolved that the company should wound up voluntarily in accordance with the provisions of the companies Act. Date: 31st August, 2021 OPTATUS I. H. LUOGA FESTO I.LUOGA DIRECTOR DIRECTOR TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1477 BUSINESS REGISTRATIONS AND LICENSING AGENCY Notice of Appointment of Liquidator: Voluntary Wind- ing-Up: for insertion in Gazette Pursuant to section 360 of the Companies Act, 2002 Company Number: 14385 Company Name: GEMINI CONTRACTORS LIMITED (in Full) Type of Liquidation: MEMBERS Address of Registered: PLOT NO. 328 BLOCK ‘C’ SINZA UBUNGO DISTRICT Liquidator(s): MASHIKU J. SABASABA name Liquidator Address : M&J ATTORNEY SIDO SMALL BUSSINES HOUSE ROOM 20B 2ND FLOOR, BIBI TITI MOHAMED ROAD P.O BOX 100217 DAR ES SALAAM Date of appointment: 25th August, 2021 By whom appointed : Members Signed: .................................. Date:25thAugust, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1478 BUSINESS REGISTRATIONS AND LICENSING AGENCY Notice of Appointment of Liquidator: Voluntary Wind- ing-Up: for insertion in Gazette Pursuant to section 360 of the Companies Act, 2002 Company Number: 149796355 Company Name: TEHAMA TTC COMPANY LIMITED (in Full) Type of Liquidation: MEMBERS Address of Registered: P.O BOX 35 PWANI, BAGAMOYO BWIGIRI KARIBU NA NJIA PANDA CHALINZE Date of appointment: 16th August, 2021 By whom appointed : Members Signed: .................................. Date:2ndSeptember, 2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1476 IN THE HIGH COURT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA (DAR ES SALAAM DISTRICT REGISTRY) AT DAR ES SALAAM MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 41 OF 2019 IN THE MATTER OF THE COMPANIES ACT CAP. 212 RE 2002 AND IN THE MATTER OF AN APPLICATION MADE UNDER SECTION 281 (1) OF THE COMPANIES ACT CAP 212 RE 2002 AND IN THE MATTER OF COMPULSORY WINDING UP OF KISHEN ENTERPRISES LIMITED CHONGQING LIFAN INDUSTRY (Group) IMP. & EXP. CO LTD PETITIONER Vs KISHEN ENTERPRISES LIMITED RESPONDENT NOTICE IS HEREBY GIVEN to the general public that KISHEN ENTERPRISES LIMITED with Incorporation No. 50620 having their registered offices in Dar es Salaam, Tanzania is intended to be wound up. That on the 231d January 2019, CHONGQING LIFAN INDUSTRY (GROUP) IMPO. & EXP. CO.LIMITED has petitioned to the Court praying for an Order under the Companies Act Cap. 212 to wind up KISHEN ENTERPRISES LIMITED and appointment of an official liquidator of the Company. The Petition will be heard at the HIGH COURT OF TANZANIA DAR ES SALAAM DISTRICT REGISTRY On the 09th day of SEPTEMBER 2021 at 09:00 AM before HON. MASABO-JUDGE and the name and Address of the Petitioner are:- CHONGQING LIFAN INDUSTRY (GROUP) IMP . &EXP. Company And his Address of Service for the purpose of this Petition shall be under the care of: SHALOM SAMWEL MSAKYI, ADVOCATE, MA ATTORNEYS, 2nd FLOOR, RAHA TOWERS, MAKTABA SQUARE/BIBI TITI STREET, P.O. BOX 7566, DAR ES SALAAM. THEREFORE: Any person intending to show cause why the prayer of the Petition should not be granted or wishing to appear at the Hearing whether not be granted or wishing to appear at the hearing whether to defend, oppose or in support of this Petition must give Notice of his intention in accordance with the provisions of THE COMPANIES ACT and THE COMPANIES (INSOLVENCY) RULES. SHALOM SAMWEL MSAKYI ADVOCATE FOR THE PETITIONER GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 202116 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1479 UTHIBITISHO NA USIMAMIZI WA MIRATHI (Katika Mahakama Kuu Tanzania Dar es Salaam) MIRATHI NA. 27 YA MWAKA 2021 Maombi ya Barua za Usimamizi wa Miarathi ya:- Nelson Hosea Msanza - Marehemu Rose Beda Kyara & Another -Waombaji TAARIFA YA KAWAIDA (Kanuni ya 75) Watu wote wanaodai kuwa na haki ya marehemu aliyetajwa hapo juu wanafahamishwa kufika na kuangalia mashauri haya katika jalada kama wanaona inafaa kabla ya kutolewa kwa uthibitisho wa barua za usimamizi wa mirathi kwa waombaji/muombaji hapo juu. Mapingamizi yoyote kuhusu haya yawe yameandikishwa mnamo au kabla ya tarehe 17 mwezi wa 8 mwaka 2021. Imewasilishwa Dar es Salaam leo tarehe 06 mwezi wa 05 mwaka 2021 .......................... Naibu Msajili TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1480 UTHIBITISHO NA USIMAMIZI WA MIRATHI (Katika Mahakama Kuu Tanzania Dar es Salaam) MIRATHI NA. 105 YA MWAKA 2021 Maombi ya Barua za Usimamizi wa Miarathi ya:- Dr. Col. Moses Beatus Mlula - Marehemu Col. Hoja Simon Ngw’eshemi -Mwombaji TAARIFA YA KAWAIDA (Kanuni ya 75) Watu wote wanaodai kuwa na haki ya marehemu aliyetajwa hapo juu wanafahamishwa kufika na kuangalia mashauri haya katika jalada kama wanaona inafaa kabla ya kutolewa kwa uthibitisho wa barua za usimamizi wa mirathi kwa waombaji/muombaji hapo juu. Mapingamizi yoyote kuhusu haya yawe yameandikishwa mnamo au kabla ya tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2021. Imewasilishwa Dar es Salaam leo tarehe 17 mwezi wa 08 mwaka 2021 .......................... Naibu Msajili TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1481 The Registration of Documents Cap 117 CHANGE OF NAME BY DEED POLL BY THIS MARY ULUMBI TUMAI, of Kigambomi,- DSM Dar es Salaam, DO HEREBY absolutelyrenounce and abandon the use of my former names MARY ONESHORO NKWAO and IN LIEU thereof DO ASSUME and adopt the name of MARY ULUMBI TUMAI. AND IN PURSUANT of such change of namesas aforesaid DOHEREBY DECLARE that at all times hereafter in all records, deeds and instruments in writing and in all actions and procedings and in all dealings and transactions and upon all occasions whatsoever use and sign in the said name of MARY ULUMBI TUMAI in lieu of the said name of MARY ONESHORO NKWAO renounce as aforesaid And it is Hereby authorized and requestedhat all personsto desgnate and address me in the name of MARY ULUMBI TUMAI only, and the reason behindis to make uniformity of my name in all of my dealings. IN WITNESS whereof I MARY ULUMBI TUMAI have abandoned my old names of MARY ONESHORO NKWAO and I have set my hand this 26th day of August, 2021 on the name of MARY ULUMBI TUMAI SIGNES and DELIVERED AT DAR ES SALAAM by the said MARY ULUMBI TUMAI who is kmown to me Personally/ Identified to me by ...................... the latter being known to me Personally this 26th day of August, 2021. BEFORE ME: Name: ................................. Signature: ....................................... Postal Address: 09137 Dar es Salaam Qualification: COMMISSIONER FOR OATHS, GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 17 03 Septemba, 2021 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 202118 Police Force No. 12 TANZANIA POLICE FORCE INVENTORY OF UNCLAIMED PROPERTY FROM:SHINYANGA (W) POLICE STATION TO: SHINYANGA DISTRICT COURT Item Description Gari T 606 DCW TOYOTA SPACIO Kuukuu Injini yake ni Mbovu Pikiki Chasis No. LBRSPJB 57E9046376* Estimate Value 470,000/= 120,000/= 130,000/= 90,000/= 60,000/= 65,000/= 550,000/= Date 01/09/2021 01/09/2021 01/09/2021 01/09/2021 L and F No. SHY/RB/ 3679/ 2021 SHY/RB/ 3679/ 2021 SHY/RB/ 3679/ 2021 SHY/RB/ 3680/ 2021 SHY/RB/ 3628/ 2021 SHY/RB/ 3628/ 2021 SHY/RB/ 3628/ 2021 Finder’s Name and Address OCS SHINYANGA S.L.P 26 SHINYANGA Remarks as to Condition Chakavu pia Injini ni Mbovu Chakavu Iuzwe // // // // // Magistrates Orders Mali zote ziuzwe kwa Mnada Pikiki Chasis No. LDAPAJ OB9FGB14685* Pikiki Chasis No. KEFKE70 0019975* FREEZER Moja Chakavu aina ya BOSS FRIDGE Moja Chakavu aina ya BOSS CHEREHANI Moja Chakavu aina ya BUTTERFLY 01/09/2021 01/09/2021 01/09/2021 District: Shinyanga TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1482 .......................................................... Mkuu wa Polisi (W) Shinyanga GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 19 03 Septemba, 2021 Police Force No. 12 TANZANIA POLICE FORCE INVENTORY OF UNCLAIMED PROPERTY FROM:SHINYANGA (W) POLICE STATION TO: SHINYANGA DISTRICT COURT Item Description Gari T 606 DCW TOYOTA SPACIO Kuukuu Injini yake ni Mbovu Pikiki Chasis No. LBRSPJB 57E9046376* Estimate Value 470,000/= 120,000/= 130,000/= 90,000/= 60,000/= 65,000/= 550,000/= Date 01/09/2021 01/09/2021 01/09/2021 01/09/2021 L and F No. SHY/RB/ 3679/ 2021 SHY/RB/ 3679/ 2021 SHY/RB/ 3679/ 2021 SHY/RB/ 3680/ 2021 SHY/RB/ 3628/ 2021 SHY/RB/ 3628/ 2021 SHY/RB/ 3628/ 2021 Finder’s Name and Address OCS SHINYANGA S.L.P 26 SHINYANGA Remarks as to Condition Chakavu pia Injini ni Mbovu Chakavu Iuzwe // // // // // Magistrates Orders Mali zote ziuzwe kwa Mnada Pikiki Chasis No. LDAPAJ OB9FGB14685* Pikiki Chasis No. KEFKE70 0019975* FREEZER Moja Chakavu aina ya BOSS FRIDGE Moja Chakavu aina ya BOSS CHEREHANI Moja Chakavu aina ya BUTTERFLY 01/09/2021 01/09/2021 01/09/2021 District: Shinyanga TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1483 .......................................................... Mkuu wa Polisi (W) Shinyanga GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 03 Septemba, 202120 Police Force No. 12 TANZANIA POLICE FORCE INVENTORY OF UNCLAIMED PROPERTY FROM:BAGAMOYO POLICE STATION TO: BAGAMOYO DISTRICT COURT TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1484 Item Description Gari T 429 DAG TOYOTA MARK X Mipira ya Mkongo wa Mawasiliano Miwili (Bomba) Estimate Value Itumikke kwa Kazi za Polisi Ikabidhiwe Idara ya Mawasiliano Itumikke kwa Kazi za Polisi 3,000,000/= 60,000/= 70,000/= 70,000/= 60,000/= 60,000/= 60,000/= 70,000/= 50,000/= 60,000/= 50,000/= Date 09/05/2019 23/09/2020 06/11/2020 26/12/2020 L and F No. 14/2019 12/2020 13/2020 02/2020 2/2020 3/2020 5/2020 14/2020 1/2021 4/2021 5/2021 6/2021 9/2020 11/2020 Finder’s Name and Address ASP JINGU OCS MAPINGA ASP MICHAEL KAPOSHI OCS BAGAMOYO // // // // // // // // // // // // Remarks as to Condition Chakavu // // // // // // // // // // // // // Magistrates Orders Ziuzwe kwa Mnada na Fedha iingie Serikalini Gari T 591DDE TOYOTA HARRIER Boat MV Ujingabasi KIS FB (VA) 174 - JF - 170 No.Engine Boat YAMAHAHP.GO Pikipiki MC 446 BHD BOXER Pikipiki MC 907 DAZ SANLG Pikipiki MC 138 BCM BOXER Pikipiki MC 936 BXZ SANLG Pikipiki MC 322 BPX TVS Pikipiki Haina Namba SANLG Pikipiki MC 281 CMS BOXER (BAJAJ) Pikipiki Haina Namba HONDA Pikipiki MC 697 AFU SANLG Pikipiki T 557 CTY SANLG 04/03/2020 04/03/2020 21/09/2020 27/11/2020 21/02/2021 24/04/2021 24/04/2021 24/04/2021 21/09/2020 22/09/2020 District: Bagamoyo GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA03 Septemba, 2021 21 Item Description Deck 2 Sing Sung, Sabufa 1 Sea Piano, Speaker 1 duara, Speaker 1 ya Sabufa, Speaker 3, TV moja Guet Link na TV 1 Son Speaker 1 Aina ya Sea Peano, Rising, Sea Piano Ndogo Estimate Value 70,000/= 40,000/= 40,000/= 70,000/= Itumike katika kazi za Polisi Itumike katika kazi za Polisi Ikabidhiwe Idara ya Uvuvi Ikabidhiwe Idara ya Uvuvi Date 24/04/2021 24/04/2021 30/04/2021 30/04/2021 L and F No. 11/2021 12/2021 13/2021 14/2021 15/2020 3/2021 9/2021 10/2021 Finder’s Name and Address ASP MICHAEL KAPOSHI OCS BAGAMOYO // // // // // // // Remarks as to Condition Chakavu // // // // // Mikuukuu Mikuukuu Magistrates Orders Ziuzwe kwa Mnada na Fedha iingie Serikalini Sabufa 2 Aina ya Sea Piano Mashine (Chainsaw) ya kukatia Miti Pikipiki MC 540 BWA HAOJUE Gari T 777 DCZ (Bandia T 342 DMX) YOYOTA IST Mitungi 18 ya Gesi ys Kuzamia Mtungi 1wa Gesi ws Kuzamia 27/11/2020 01/04/2021 24/04/2021 24/04/2021 .......................................................... Mkuu wa Polisi Kituo cha Bagamoyo