GAZETI BEI SH. 1,000/= LA MWAKA WA 101 12 Juni, 2020 TOLEO NA. 24 YALIYOMO Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA O Taarifa ya Kawaida Uk. Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama Gazeti ISSN 0856 - 0323 Notice re Supplements ...................................... Na.738 27/8 Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ........ Na. 739-41 28/9 Kupotea kwa Leseni ya Makazi ................... Na. 742-3 29 Administration ................................................... Na. 744 30 Tangazo la Kufunga Kampuni ...................... Na. 745-8 30 Resolution for Wnding Up ............................ Na. 749 30/1 Taarifa ya Kawaida Uk. DODOMA TAARIFA YA KAWAIDA NA. 738 Notice is hereby given that Order, Notice and Sheria Ndogo as Set out below, have been issued and are published in Subsidiary Legislation Supplement No. 24 dated 12th June, 2020 to this number of the Gazette:- Order under the Value added Tax (Exemption) (Supply of HDPE Pipes at Shirima Village - Kwimba District) (M/S Plasco Ltd) (Government Notice No. 432 of 2020). Order under the Value added Tax (Exemption) (Empowering Small Holder Women and Youth on Rice Harvest Management and Marketing ) (M/S Helvetas Swiss Intercooperation) (Amendment) (Government Notice No. 433 of 2020). Order under the Local Government Authorities (Division of Assets and Liabilities) (Government Notice No. 434 of 2020). Order under the Local Government Authorities (Division of Assets and Liabilities) (Government Notice No. 435 of 2020). Order under the Local Government Authorities (Division of Assets and Liabilities) (Government Notice No. 436 of 2020). Order under the Local Government Authorities (Division of Assets and Liabilities) (Government Notice No. 437 of 2020). Business Regitration and Licensing Agency .............................................................. Na. 750 31 Maombi ya Vibali vya Matumizi ya Maji ....... Na. 751 31/4 Maombi ya Kutangaza Bei Mpya ya Matumizi Maji ............................................... Na. 752 35/40 Deed Poll by Change of Name ................... Na. 753-5 40/1 Inventory of Unclaimed Property ................. Na. 756 41/2 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 12 Juni, 202028 Order under the Local Government Authorities (Division of Assets and Liabilities) (Government Notice No. 438 of 2020). Notice under the Petroleum (Madema Company Limited) (Construction Aproval) (Government Notice No. 439 of 2020). Notice under the Petroleum (Rahisi Petroleum Limited) (Construction Aproval) (Government Notice No. 440 of 2020). Notice under the Petroleum (Mmbigo Filling Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 441 of 2020). Notice under the Petroleum (Omary Charles Njovu T/A Njovu Petrol Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 442 of 2020). Notice under the Petroleum (Crescent Energy Tanzania Limited) (Construction Aproval) (Government Notice No. 443 of 2020). Notice under the Petroleum (Afroil Investiment Ltd) (Construction Aproval) (Government Notice No. 444 of 2020). Notice under the Petroleum (Magige Mwita Magige) (Construction Aproval) (Government Notice No. 445 of 2020). Notice under the Petroleum (Gatan Universal Limited Petrol Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 446 of 2020). Notice under the Petroleum (Lake Oil Magogoni) (Construction Aproval) (Government Notice No. 447 of 2020). Notice under the Petroleum (Zubeda Hamisi Msakati Petrol Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 448 of 2020). Notice under the Petroleum (Kifaru Oil Investment Limited - Kerege) (Construction Aproval) (Government Notice No. 449 of 2020). Notice under the Petroleum (Nassor Service Station Company Limited) (Construction Aproval) (Government Notice No. 450 of 2020). Notice under the Petroleum (Ocean Petroleum) (Construction Aproval) (Government Notice No. 451 of 2020). Notice under the Petroleum (Victoria Luande Mdasa) (Construction Aproval) (Government Notice No. 452 of 2020). Notice under the Petroleum (Jom Fuel Petrol Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 453 of 2020). Notice under the Petroleum (Vivo Energy Tanzania Limited - Masaki Service Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 454 of 2020). Notice under the Petroleum (Mbuyuni Filling Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 455 of 2020). Notice under the Petroleum (Faraja Robert Nachundu - Nachundu Petrol Station) (Construction Aproval (Government Notice No. 456 of 2020). Notice under the Petroleum (Amer Mohamed Mbarak) (Construction Aproval) (Government Notice No. 457 of 2020). Notice under the Petroleum (Mustafa Salehe Matala) (Construction Aproval) (Government Notice No. 458 of 2020). Notice under the Petroleum (ATN Mivumoni Petrol Station) (Construction Aproval) (Government Notice No. 459 of 2020). Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same (Tangazo la Serikali Na. 460 la 2020). TAARIFA YA KAWAIDA NA. 739 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 45457. Mmiliki aliyeandikishwa: DEOGRATIUS KAMUGISHA BARONGO WA S. L. P. 60257. Ardhi: Kiwanja Na. 526, Kitalu Na. F Mabibo, Ubungo. Muombaji: DEOGRATIUS KAMUGISHA BAGONGO WA S. L. P. 68814 KINONDONI, DAR ES SALAAM. TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1191, Dar es Salaam Dar es Salaam, BRENDA KURINGE, 19 Mei, 2020 Msajili wa Hati Msaidizi GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA12 Juni, 2020 29 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 740 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 56582. Mmiliki aliyeandikishwa: JUMA MAULID SALIM WA S.L.P. 32122, KINONDONI DAR ES SALAAM. Ardhi: Kiwanja Namba 499, Kitalu Na. 45C Kijitonyama Kinondoni. Muombaji: MARIAM JUMA MAULID WA S. L. P. ..., KINONDONI DAR ES SALAAM. TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1191, Dar es Salaam. Dar es Salaam, BRENDA KURINGE, 28 Mei, 2020 Msajili wa Hati Msaidizi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 741 KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi (Sura 334) Hati Nambari: 69374. Mmiliki aliyeandikishwa: SINAILA SAID SIMBA. Ardhi: Kiwanja Na. 46 Kitalu ‘10’ Tuangoma Manispaa ya Temeke. Muombaji: HIJA SELEMENI MASTOKA (Msimamizi wa Mirathi ya SINAILA SAID SIMBA, marehemu) WA S. L. P. 45442, DAR ES SALAAM. TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa mwezi mmoja tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. HATI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, S. L. P. 1191, Dar es Salaam. Dar es Salaam, BRENDA KURINGE, 19 Mei, 2019 Msajili wa Hati Msaidizi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 742 KUPOTEA KWA LESENI YA MAKAZI Sheria ya Usajili wa Nyaraka (Sura 117) Namba ya Leseni: TMK039878. Mmiliki aliyeandikishwa:MARIAM KABESELO ATHUMANI Namba ya Ardhi: TMK/YBV/MHB21/22 Muombaji: MARIAM KABESELO ATHUMANI TAARIFA IMETOLEWA kwamba Leseni ya Makazi tajwa hapo juu iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Nakala ya Leseni ya Makazi iwapo hakuna kipingamizi kwa muda siku ishirini na nane (28) tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. Na isitumike kwa Dhamana yoyote ile. LESENI YA MAKAZI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Nyaraka Msaidizi, S. L. P. 46343, Temeke, Dar es Salaam. E.R. PALLANGYO, Msajili Msaidizi wa Nyaraka Manispaa ya Temeke TAARIFA YA KAWAIDA NA. 743 KUPOTEA KWA LESENI YA MAKAZI Sheria ya Usajili wa Nyaraka (Sura 117) Namba ya Leseni: ILA014866. Mmiliki: HEAVENLIGHT FRANCIS PUKA. Namba ya Kiwanja: ILA/UKG/MZZ37/112. Mwombaji: HEAVENLIGHT FRANCIS PUKA. TAARIFA IMETOLEWA kwamba Leseni ya Makazi iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Leseni ya Makazi mpya badala yake, iwapo hakuna pingamizi kwa muda miezi mitatu tokea tarehe ya taarifa hii itakapotangazwa katika Gazeti la Serikali. LESENI YA MAKAZI YA ASILI ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Nyaraka Msaidizi, S. L. P. 20950, Ilala, Dar es Salaam. F. R. CHAMBULILO, Msajili wa Leseni za Makazi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 12 Juni, 202030 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 747 TANGAZO LA KUFUNGA KAMPUNI DFS EXPRESS LINE LIMITED NAMBA YA USAJILI 78815 Wamiliki wa Kampuni ya DFS Express Line Ltd. Namba ya Usajili 78815 ya tarehe 28/09/2010 wanapenda kuutangazia Umma kuwa kampuni yao imefilisika na hivyo kuamua kuifunga kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni BRELA. .................................... Mkurugenzi TAARIFA YA KAWAIDA NA. 748 TANGAZO LA KUFUNGA KAMPUNI YOROK GEOSPATIAL AND GENERAL SOLUTIONS LIMITED P. O. BOX 75827 DAR ES SALAAM-TANZANIA TEL: 320340, 0715 537777 NAMBA YA USAJILI 140609 Kufuatia maamuzi ya Bodi ya Wakurugenzi wa Yorok Geospatial and General Solutions Ltd. yenye Namba ya Usajili 140609, imeamua kuifunga Kampuni yake kwa kutotimiza malengo yake kama ilivyokusudiwa toka isajiliwe kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni inayosimamiwa na biashara na leseni (BRELA). ATHUMANI MAULID YORO Mkurugenzi Mtendaji TAARIFA YA KAWAIDA NA. 749 FANMULK CONSTRUCTION COMPANY LIMITED COMPANY NO. 1139018559 RESOLUTION FOR WINDIND UP EXTRACT FROM THE MINUTES OF THE EXTRA - ORDINARY MEET- ING OF THE COMPANY HELD AT MIPANGO, DIS- TRICT DODOMA ON 01st JUNE 2020 It was unanimously Resolved that: (a). That the company be and is hereby voluntarily wound up by its Members with effect from the date of this Resolution due to poor business position. (b) That the company has no assets generated during its exitence. That the members of the company wish to notify the general public that the company ceases to oparate as from the date of this Resolution. TAARIFA YA KAWAIDA NA. 744 APPOINTMENT OF ASSISTANT REGISTRAR OF TITLES (Made Under Section 4) THE LAND REGISTRATION ACT (CAP. 334) ADMINISTRATION I, WILLIAM VANGIMEMBE LUKUVI, Minister for Lands, Housing and Human Settlement Development, DO HEREBY APPOIN CHRISTINA DANIEL NYERERE, Senior Assistant Land Officer, to perfom the function of the Assistant Registrar of Tittles under the Act. Dodoma, WILLIAM VANGIMEMBE LUKUVI, 8th June, 2020 Ministry for Lands, Housing and Human Settlements Development TAARIFA YA KAWAIDA NA. 745 TANGAZO LA KUFUNGA KAMPUNI KEN-SHE INVESTMENTS INTERNATIONAL,INC NAMBA YA USAJILI 138846601 Wamiliki wa Kampuni ya Ken-She Investments International, Inc. (Namba ya Usajili 138846601) wanapenda kuutangazia Umma kuwa kampuni yao imefilisika na hivyo kuamua kuifunga kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni Tanzania. JOHN MAPANDO Advocate TAARIFA YA KAWAIDA NA. 746 TANGAZO LA KUFUNGA KAMPUNI J. R. EXPORTERS & GENERAL SERVICE LTD NAMBA YA USAJILI 64517 Wamiliki wa Kampuni ya J. R. Exporters & General Service Ltd, Usajili Namba 64517 ya tarehe 5 Machi, 2008 wanapenda kuutangazia Umma kuwa kampuni yao imefungwa tangu tarehe 3 Juni, 2020 kwa yeyote mwenye madai katika kampuni hii tunaomba awasiliane kwa simu Na. 0713 291 944. AKASH BHIMJI CHUDASAMA Mkurugenzi GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA12 Juni, 2020 31 The Registrar of the Companies (BRELA) and the relevant government Authorities are hereby notified of this Voluntary Winding Up. We hereby certify the aboveto be a true extract of the minutes of the Company. Dated at Dar es Salaam ................... day ............... 2020. .................................................. ..................................... KHALFANI ABDULLA KHALFANI MULK ABDUL ALLY TAARIFA YA KAWAIDA NA. 750 BUSINESS REGISTRATIONS AND LICENCING AGENCY ADVERTISEMENT OF WINDING UP PETITION Pursnant to Section 281 of the Companies Act, 2002 In the matter of: JUNACO (T) LIMITED A petition to wind up the above named company, of: Address: P.O. BOX 77756 DAR ES SALAAM Presented on: 19TH MAY, 2020 By: FIRST NATIONAL BANK TANZANIA LIMITED, FNB HOUSE, (name and address of OHIO STREET P. O. BOX 72290 petitioner DAR ES SALAAM Claiming to be a [creditor] [contributory] of the company, Will be heard at: HIGH COURT OF TANZANIA (Name of Court) (COMMERCIAL DIVISION) AT DAR ES SALAAM On (date) 25TH JUNE, 2020 At (time) 9:30AM (Or as soon thereafter as the petition can be heard). Any intending to appear on the hearing of petition (Whether to support it or oppose it) must give notice of his intension to do so to the Petitioner or his its Advocate in accordance with Rule 104 of the companies (Insolvence Rules) 2004 by 16:00 hours on the business day before the date of the hearing given above. The petitioner’s INNOCENT FELIX OF LAW Advocate is FRONT ADVOCATES, 3RD FLOOR, JUED BUSINESS CENTRE GARDEN ROAD, PLOT NO. 497 MIKOCHENI ‘A’ DAR ES SALAAM Dated: 08TH JUNE, 2020. TAARIFA YA KAWAIDA NA. 751 MAOMBI YA VIBALI VYA KUTUMIA MAJI Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji (ACT NO. 11 OF 2009) Inatangaza Kwamba Vibali vya Matumizi ya Maji kwa Maombi yaliyoorodheshwa hapo chini vinategenezwa. Kwa yeyote anayefikiria kwamba anaweza kudhurika baada ya kutolewa Vibali hivi ama yeyote mwenye pingamizi anayo nafasi kufanya hivyo kulingana na Vifungu vya Amri (Kawaida) vya Maji vya mwaka 2010 (Water Utilization (General Regulations). Pingamizi na maelezo ya namna hiyo pamoja na sababu zake kamili, lazima zimfikie Afisa wa Maji wa Bonde la Rufiji ndani ya siku arobaini kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa taarifa hii katika Gazeti la Serikali. 1.0 Ombi Na. RBWB2142 Muombaji : Mkuza Chicks Ltd Kiasi : 69,120 kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Mifugo Kijiji : Lundamatwe Wilaya : Kilolo 2.0 Ombi Na. RBWB2143 Muombaji : Lukosi Hass Farms Limited Kiasi : 69,120 kwa siku Chanzo : Mto Mpeta Matumizi : Umwagiliaji Hekta 100 Kijiji : Ipalamwa Wilaya : Kilolo 3.0 Ombi Na. RBWB2088 Muombaji:- : Omary Said Kunguru Kiasi : 207,360 lita kwa siku Chanzo : Mto Little Ruaha Matumizi : Umwagiliaji Hekta 2.4 Kijiji : Mbuyuni Pawga Wilaya : Iringa vijijini 4.0 Ombi Na. RBWB2138 Muombaji : Jumuiya ya Watumia Maji- Milu Kiasi : 328,320 lita kwa siku Chanzo : Kijito cha Ng’uruh Matumizi : Matumizi ya jamii Kijiji : Ng’uruhe Wilaya : Kilolo GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 12 Juni, 202032 . 5.0 Ombi Na. RBWB2141 Muombaji : Diocese of Iringa (Comunita Nel Mondo) Kiasi : 1,800 lita kwa sik Chanzo : Kisima Matumizi: : Matumizi ya nyumbani (Taasisi) Kijiji: : Ipogolo Wilaya: : Iringa mjini 6.0 Ombi Na. RBWB2127 Muombaji: - : Jumuiya ya watumia maji sali Kiasi: : 152,600 lita kwa siku Chanzo; : Kijito cha Shihonya Matumizi: : Matumizi ya jamii Kijiji: : Isyaga Wilaya: : Ulanga 7.0 Ombi Na. RBWB2128 Muombaji: - : Jumuiya ya watumia maji Lukande Kiasi: : 248,400 lita kwa siku Chanzo; : Kijito cha Isaka Matumizi: : Matumizi ya jamii Kijiji: : Gombe & Lukande Wilaya: : Ulanga 8.0 Ombi Na. RBWB2129 Muombaji : Jumuiya ya watumia maji Chikut Kiasi : 337,380 lita kwa siku Chanzo : Kijito cha Mahenge Matumizi : Matumizi ya jamii Kijiji : Chikuit Wilaya : Ulanga 9.0 Ombi Na. RBWB2130 Muombaji : Kibidula Farm Ltd Kiasi : 129,600 lita kwa siku Chanzo : Chemchem ya Nyamtowo Matumizi : Umwagiliaji wa parachichi Kijiji : Mbuyuni Wilaya : Mufindi 10.0 Ombi Na. RBWB2130 Muombaji : G.K. Mafiinga Investiment Kiasi : 5,000,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Mnyera Matumizi: : Uzalishaji umeme (485MW) Kijiji: : Nyave Taweta Wilaya : Njombe & Kilombero 11.0 Ombi Na. RBWB2147 Muombaji : Richard Cassian Pius Kiasi : 5,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Ndembera Matumizi: : Usafishaji wa dhahabu na matumizi ya nyumbani Kijiji: : Lyanyato (Igomaa) Wilaya: : Mufindi 12.0 Ombi Na. RBWB2139 Muombaji : Josephat F. Danda Kiasi : 5,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Ndembera Matumizi : Usafishaji wa madini na matumizi ya nyumbani Kijiji : Igomaa Wilaya : Mufindi 13.0 Ombi Na. RBWB2144 Muombaji : Agricommodities Tz ltd Kiasi : 30,000 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Mifugo Kijiji : Kihanga Wilaya : Makambako 14.0 Ombi Na. RBWB22146 Muombaji : Saleh Jumanne Khamis Kiasi : 20,000 lita kwa siku Chanzo : Chemchem ya makete-Mgama Matumizi : Kunywesha mifugo Kijiji : Ihemi-maket Wilaya : Iringa vijijini 15.0 Ombi Na. RBWB2145 Muombaji : Diocese of Iriinga Madibira Parish Kiasi : 5,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Ndembera Matumizi : Matumizi ya biashara (car wash) Kijiji : Mkunywa Wilaya : Mufindi 16.0 Ombi Na. RBWB2150 Muombaji : Jumuiya ya Watumia Maji Jitume Unufaike Kiasi : 864,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Sasima Matumizi : Umwagiliaji Hekta 10 Kijiji : Chabi Wilaya : Kilosa 17.0 Ombi Na. RBWB2148 Muombaji : Thobias M Rusubho Kiasi : 5,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Nbembera Matumizi : Usafishaji wa madini Kijiji : Igomaa Wilaya : Mufindi GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA12 Juni, 2020 33 18.0 Ombi Na. RBWB2138 Muombaji : Jumuiya ya Watumia Maji- Milu Kiasi : 328,320 lita kwa siku Chanzo : Kijito cha Kalinga Matumizi : Matumizi ya jamii ya kijiji cha Ng’uruhe Kijiji : Ng’uruhe Wilaya : Kilolo 19.0 Ombi Na. RBWB2149 Muombaji : Edward Uphoro Avael Kiasi : 4,000 lita kwa siku Chanzo : Chemchem Matumizi : Umwagikiaji Hekta 4.8 Kijiji : Ikongisi Wilaya : Mufindi 20.0 Ombi Na. RBWB2151 Muombaji : Josephat Alfan Masonda Kiasi : 2,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Ruhuji Matumizi : Umwagikiaji Hekta 7 Kijiji : Utalingolo Wilaya : Njombe 21.0 Ombi Na. RBWB2152 Muombaji : Josephat Alfan Masonda Kiasi : 2,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Limagi Matumizi : Umwagikiaji Hekta 7 Kijiji : Utalingolo Wilaya : Njombe 22.0 OMBI Na. RBWB1952 Muombaji : Saint Dominic Savio- Kigonzile Kiasi : 90,000 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Matumizi ya nyumabani ya taasisi Kijiji : Kigonzile Wilaya : Iringa Mjini 23.0 Ombi Na. RBWB1993 Muombaji : East African Born Wood Company Ltd Kiasi : 2,500 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Matumizi ya nyumbani na kiwandani Kijiji : Mifugo-luganga Wilaya : Mufindi 24.0 Ombi Na. RBWB2058 Muombaji : Don Bosco Seminary Mafinga Kiasi : 60,000 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Matumizi ya nyumbani ya taasisi Kijiji : Luganga Wilaya : Mufindi 25.0 Ombi Na. RBWB2077 Muombaji : Consolata Iringa Sec.School Kiasi : 84,000 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Matumizi ya nyumbani taasisi Kijiji : Mapogoro Wilaya : Iringa mjini 26.0 Ombi Na.RBWB1914 Muombaji : Chico Company Limited Kiasi : 30,000 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Matumizi ya nyumani taasisi (mzani) Kijiji : Kihorog Wilaya : Iringa vijijjini 27.0 Ombi Na. RBWB1871 Muombaji : Gabriel Benedict Fuime Kiasi : 10,00 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Umwagiliaji Kijiji : Makwava-Muwimbi Wilaya : Iringa vijijini 28.0 Ombi Na.RBWB2153 Muombaji : Mrs Happiness Ibrahim Kaduma Kiasi : 93,312 lita kwa siku Chanzo : Kijito cha Mlenzi Matumizi : Umwagiliaji Hekta 23 Kijiji : Nundu Wilaya : Njombe 29.0 Ombi Na.RBWB0440 Muombaji : Mwendamtitu Irrigators Cooperatives Kiasi : 1,171,445,760 lita kwa siku Chanzo : Mto Mbarali Matumizi : Umwagiliaji Hekta 6776.2 Kijiji : Mwakaganga Wilaya : Mbarali GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 12 Juni, 202034 30.0 Ombi Na. RBWB1772 Muombaji : Uwolo Mpungo Kiasi : 5,184,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Mlowo Matumizi : Umwagiliaji Hekta 40 Kijiji : Galijembe Wilaya : Mbeya vijijini 31.0 Ombi Na. RBWB1846 Muombaji : Gwiri Scheme Kiasi : 95,040,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Gwiri Matumizi : Umwagiliaji wa mpunga Hekta 550 Kijiji : Ruiwa Wilaya : Mbabrali 32.0 Ombi Na. RBWB2016 Muombaji : Umoja wa Umwagiliaji Igwambilo Kiasi : 69,120,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Great Ruaha Matumizi : Umwagiliaji Hekta 400 Kijiji : Mbalino Wilaya : Mbarali 33.0 Ombi Na. RBWB1860 Muombaji : Suphian A Ginga Kiasi : 1,589,760 lita kwa siku Chanzo : Mto Mfyamba Matumizi : Umwagiliaji Hekta 9.2 Kijiji : Nyamakuyu Wilaya : Mbarali 34.0 Ombi Na. RBWB1185 Muombaji : Umoja wa Umwagiliaji Kikundi cha ilansi Kiasi : 6,048,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Gwiri Matumizi : Umwagiliaji Hekta 35 Kijiji : Mahango Wilaya : Mbarali 35.0 Ombi Na. RBWB2136 Muombaji : Umoja wa Wakulima Ibokili Kiasi : 70,156,800 lita kwa siku Chanzo : Mto Mbarali Matumizi : Matumizi ya umwagiliaji Hekta 346 za mpunga na Hekta 60 za mpunga katika kijiji cha Ibohora Kijij : Ibohora Wilaya : Mbarali 36.0 Ombi Na. RBWB2053 Muombaji : Mr.Anton Kipeleka Kiasi : 5,200 lita kwa siku Chanzo : Kisima Matumizi : Matumizi ya Biashara (Mandela Guest Housse) Kijiji : Mbingu Wilaya : Kilombero 37.0 Ombi Na. RBWB2055 Muombaji : Kikundi cha Umwagiliaji Mkombozi Nyama kuyu Kiasi : 3,456,000 lita kwa siku Chanzo : Mto mfyamba Matumizi : Matumizi ya Umwagiliaji wa mpunga Hekta 20 Kijiji : Nyamakuyu Wilaya : Mbarali 38.0 Ombi Na. RBWB2017 Muombaji : Umoja wa Umwagikiaji Mtakuja Mngolongolo Kiasi : 86,400,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Great Ruaha Matumizi : Umwagiliaji wa mpunga Hekta 500 Kijiji : Ihahi Wilaya : Mbarali 39.0 Ombi Na. RBWB1843 Muombaji : HRC Kiasi : 17,280,000 lita kwa siku Chanzo : Mto Mlowo Matumizi : Umwagiliaji wa mpunga Hekta 1500 Kijiji : Kilambo Wilaya : Mbarali 40.0 Ombi Na. RBWB1773 Muombaji : Kikundi cha Watumia Maji Jaribio Kiasi : 1,296,000 lita kwa siku Chanzo : Mto mavale Matumizi : Umwagiliaji wa mpunga Hekta 10 Kijiji : Ihango Wilaya : Mbeya 41.0 Ombi Na. RBWB1989 Muombaji : Lupanga Irrigation Scheme Kiasi : 69,120,000 lita kwa siku Chanzo : Mto great Ruaha Matumizi : Umwagiliaji wa Hekta 400 Kijiji : Ihahi Wilaya : Mbarali GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA12 Juni, 2020 35 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 752 BODI YA MAJI BONDE LA RUFIJI ADA ZA MATUMIZI YA MAJI NA ADA NYINGINE ZITAKAZOTOZWA NA BODI YA MAJI YA BONDE LA RUFIJI KUANZIA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji Na. 11 ya Mwaka 2009 Kifungu cha (96) Kutokana na kuongezeka kwa gharama za usimamizi, uratibu na uendelezaji wa Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji ya Bonde la Rufiji kwa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji Namba 11 ya Mwaka 2009 kifungu cha 96 ubatangaza viwango vipa vya ada za matumizi ya maji na ada nyingine zinazohusiana na usimamizi wa rasilimali za maji. Viwango hivi vimeandaliwa kwa kuzingatia Kanuni ya Uandaaji wa Ada kama ilyotolewa kwenye Gazeti la Serikali Namba 825 la tarehe 8/11/2019, GN. No. 825 published on 08/11/2019. Kutangaza kwa viwango hivi vya ada kunafuta vile vile vya zamami vilivyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 38 la tarehe 20/11/2013. Viwango vinavyotangazwa vimeorodheshwa hapa chini kama ilivyoidhinishwa na Wizara ya Maji. ITEM NO. WATER USE/ EFFLUENT DISCHARGES CURRENT FEES NEW FEES APPLICATION FEES (TShs) WATER USER FEES (TShs) APPLICATI ON FEES (TShs) WATER USER FEES (TShs) A, CONSUMPTIVE WATER USE 1. DOMESTIC CATEGORY I. Individual/Group of User a) Abstraction less than 15,768 m3/year (Flat rate) 60,000 100,000 60,000 100,000 b) Abstraction equal or greater than 15,768 m3/year (Volumetric rate) 60,000 100 (for every 100 m3 of water) 60,000 150 (for every 100 m3 of water) II. Hotels, Lodges, Motels, Guest House, Bar a) Abstraction less than 15,768 m3/year (Flat rate) 250,000 250,000 250,000 300,000 b) Abstraction equal or greater than 15,768 m3/year (Volumetric rate) 250,000 400 for every 100 m3 of water) 255,000 500 (for every 100 m3 of water) Ill. Waste Water Discharge (from domestic effluents) a) Treated waste water discharge less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 300,000 250,000 500,000 b) Treated waste water discharge equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric Rate) 250,000 150 (for every 100 m3 of waste water) 250,000 1,000 (for every 100 m3 of waste water) IV. Impoundment (Surface Area) - 1,500 (for every 1 m2) 100.000 200 (for every 1 m2) GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 12 Juni, 202036 ITEM NO. WATER USE/ EFFLUENT DISCHARGES CURRENT FEES NEW FEES APPLICATION FEES (Tshs) WATER USER FEES (Tshs) APPLICATIO N FEES (Tshs) WATER USER FEE (Tshs) 2. COMMUNITY WATER SUPPLY CATEGORY I. Urban Water Utilities A. UWSAs Category A a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 500,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 300 (for every 100 m3 of water) 255,000 800 (for every 100 m3 of water) B. UWSAs Category B a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 300,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 150 (for every 100 m3 of water) 255,000 500 (for every 100 m3 of water) C. UWSAs Category C a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 250,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 150 (for every 100 m3 of water) 255,000 300 (for every 100 m3 of water) II. Community Based Water Supply Organization (CBWSOs) a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 60,000 100,000 61,200 150,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 60,000 100 (for every 100 m3 of water) 61,200 150 (for every 100 m3 of water) III. Institutional Water Use a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 60,000 300,000 61,200 300,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 60,000 300 (for every 100 m3 of water) 61,200 500 (for every 100 m3 of water) IV. Commercial uses (Water Kiosk, Car Wash, Filling stations, Recreation {including beaches}) a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 250,000 100,000 250,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 400 (for every 100 m3 of water) 100,000 500 (for every 100 m3 of water) V. Waste Water Discharge (from community effluents) a) Waste water discharge less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 300,000 255,000 300,000 b) Waste water discharge equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 150 (for every 100 m3 of waste water) 255,000 500 (for every 100 m3 of waste water) GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA12 Juni, 2020 37 ITEM NO. WATER USE/ EFFLUENT DISCHARGES CURRENT FEES PROPOSED NEW FEES APPLICATIO N FEES (Tshs) WATER USER FEES (Tshs) APPLICATIO N FEES (Tshs) WATER USER FEES (Tshs) 3. AGRICULTURAL (IRRIGATION) WATER USE CATEGORY I. Small Scale Irrigation a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 60,000 150,000 61,200 150,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 60,000 100 (for every 1000 m3 of water) 61,200 50 (for every 100 m3 of water) II. Large Scale Irrigation a) Abstraction less than 583,416 m3/year (Flat rate) 250,000 300,000 255,000 500,000 b) Abstraction equal or greater than 583,416 m3/year (Volumetric rate) 250,000 200 (for every 1000 m3 of water) 255,000 100 (for every 100 m3 of water) III. Horticulture (Agro-Business) a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 500,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 2,000 (for every 1000 m3 of water) 255,000 1,000 (for every 100 m3 of water) IV. Livestock a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 60,000 100,000 61,200 300,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 60,000 100 (for every 100 m3 of water) 61,200 300 (for every 100 m3 of water) V. Fish farming a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 60,000 100,000 61,200 150,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 60,000 100 (for every 100 m3 of water) 61,200 200 (for every 100 m3 of water) VI. Waste Water Discharge (from agricultural effluents) a) Treated waste water discharge less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 500,000 255,000 500,000 b) Treated waste water discharge equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 500 (for every 100 m3 of waste water) 255,000 700 (for every 100 m3 of waste water) VII. Impoundment {including fish caging} (Surface Area) - 1,500 (for every 1 m2) 100,000 200 (for every 1 m2) GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 12 Juni, 202038 ITEM NO. WATER USE/ EFFLUENT DISCHARGES CURRENT FEES PROPOSED NEW FEES APPLICATIO N FEES (Tshs) WATER USER FEE (Tshs) APPLICATIO N FEES (Tshs) WATER USER FEES (Tshs) 4. INDUSTRIAL WATER USE CATEGORY I. Processing, Manufacturing, Cooling, Treatment & Boiler A. Small scale industry a) Abstraction less than 15,768 m3/year (Flat rate) 150,000 150,000 153,000 200,000 b) Abstraction equal or greater than 15768 m3/year (Volumetric 153,000 300 (for every 100 m3 of water) 153,000 400 (for every 100 m3 of water) B. Large scale industry a) Abstraction less than 15,768 m3/year (Flat ate) 250,000 300,000 255,000 500,000 b) Abstraction equal or greater than 15,768 m3/year (Volumetric rate) 250,000 500 (for every 100 m3 of water) 255,000 600 (for every 100 m3 of water) I. Mining A. Small Scale Mining (including Artisanal) a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 300,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 500 (for every 100 m3 of water) 255,000 500 (for every 100 m3 of water) B. Large Scale Mining (Miners) a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 500,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 500 (for every 100 m3 of water) 255,000 1,000 (for every 100 m3 of water) II. Bottling, Breweries and Soda Industries a) Abstraction less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 - 255,000 800,000 b) Abstraction equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 10,000 (for every 100 m3 of water) 255,000 15,000 (for every 100 m3 of water) III. Industrial Waste Water Discharge a) Treated waste water discharge less than 31,536 m3/year (Flat rate) 250,000 500,000 255,000 600,000 b) Treated waste water discharge equal or greater than 31,536 m3/year (Volumetric rate) 250,000 500 (for every 100 m3 of waste water) 255,000 600 (for every 100 m3 of waste water) GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 3912 Juni, 2020 ITEM NO. WATER USE/ EFFLUENT DISCHARGES CURRENT FEES PROPOSED NEW FEES APPLICATION FEES (Tshs) WATER USER FEES (Tshs) APPLICATION FEES (Tshs) WATER USER FEES (Tshs) B, NON CONSUMPTIVE WATER USE 5. POWER PRODUCTION CATEGORY a) Hydropower (per 1 MW installed Capacity) 250,000 500,000 255,000 800,000 b) Thermal power (per 1 MW installed Capacity) - - 255,000 800,000 c) Impoundment for hydropower (for every 1 m2) - 1,500 255,000 0.3 6. OTHER CATEGORIES I. Transportation (Navigation inland fresh water) a) Vessels gross weight less than 1 tons (Flat rate) 250,000 80,000 150,000 150,000 b) Vessels gross weight greater than 5 tons (for every 1 ton) 250,000 5,000 150,000 50,000 II. Construction a) Road construction (for every 1 km length of the road) - 80,000 100,000 100,000 b) Other Constructions e.g. buildings, bridges, etc. (for every 100 m3 of water) - 50,000 100,000 100,000 III. Recycle and reuse of water (Flat rate) - - 60,000 100,000 IV. An Easement (Flat rate) 150,000 - 150,000 - V. Registration of Water Use Association (Flat rate) 50,000 - 100,000 - VI. Loss Permit report Flat rate) 50,000 - 100,000 - VII. Data and Information acquisition (Flat 50,000 - 100,000 - VIII. Hydrological Survey (Flat rate) 1,000,000 - 1,200,000 - IX. Hydrogeological/Ge ophysical Survey (Flat rate) 1,500,000 - 1,500,000 - X. Drilling Permit (Flat rate) 150,000 - 150,000 - GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA40 12 Juni, 2020 I. Change of Permit name (Flat rate) - - 100,000 - II. Extension of Temporary permit (Flat rate) - - 150,000 - III. Certification of Original Document (Flat rate) 10,000 - 20,000 - IV. Any appeal to the Minister (Flat rate) 100,000 - 150,000 - V. Penalty for delayed payment of annual economic water user fee (after end of financial year) - - - 5% of outstanding bill for every month of delay VI. Any other application (Flat rate) 60,000 - 60,000 - TAARIFA YA KAWAIDA NA. 753 CHANGE OF NAME BY DEED POLL The Registration of Documents Act (CAP. 117) BY THIS DEED I, HENRY JOSEPH KIRARI of P. O. Box 2939, Dar es Salaam. DO HEREBY wholly absolutely and atterly renounce, relinquishand abandon the use of my former name of HENRY JOSEPH and adopt as from the date of the poll and in substitution of my former name, the name of HENRY JOSEPH KIRARI. For the purpose of evidence of such determination I hereby declare that I shall all times hereafter in all records, deeds documents and other writting and in all actions, suits and proceedings as well as in all public and private dealings and transactions and occasions whatsoever use and subcribe the said name of HENRY JOSEPH KIRARI as my name in lieu of and substitution for my former name of HENRY JOSEPH I hereby expressly authorize and require and every person and whosoever at all times after the date hereof to designate, describe and address me by the name of HENRY JOSEPH KIRARI IN WITNESS WHEREOF I havein substitute my old name of Henry Joseph by the new name of HENRY JOSEPH KIRARI and have set my hand at Dar es Salaam this 7th day of May, 2020. Imetolewa na: DAVID MUGINYA, Kny: Afisa wa Maji Bodi ya Maji Bonde la Rufiji ............................ DEPONET This declaration has been described before me this 7th day of May, 2020. .......................................... Commissioner fo Oaths TAARIFA YA KAWAIDA NA. 754 DEED POLL Registration of Documents Act (CAP. 117 R. E. 2002) THIS DEED is made this 14th day of May, 2020 by NATALIE MICHAEL NYAMWILIMIRA. BY THIS DEED I, the undersigned, NATALIE MICHAEL NYAMWILIMIRA of P.O Box 79468, Dar es Salaam, a citizen of Tanzania DO HEREBY RENOUNCE AND ABANDON the use of my name NATALIE M. NYAMWILIMIRA appearing in Ordinary and Advance level Certificate and other documents and in lieu thereof do assume the names NATALIE MICHAEL NYAMWILIMIRA appearing in my National Identity Card and I HEREBY DECLARE that I shall in future in all records, deeds and instruments in writting and in all actions, proceedings dealings and transactions upon all occasions whatever, use and sign the assumed names of NATALIE MICHAEL NYAMWILIMIRA instead of the names renounced. GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 4112 Juni, 2020 The reason for the change is that I want in current and subsequent certificate to be referred by the names NATALIE MICHAEL NYAMWILIMIRA. AND I HEREBY AUTHORISE and request all persons to address me istead of the names renounced. SIGNED and DELIVERED by the said NATALIE MICHAEL NYAMWILIMIRA who is identified to me by CHACHA MAIRO the letter being known to me personally, in my presence this 14th day of May, 2020. BEFORE ME: Name: BEDDA KAPINGA, Signature: ..............................., Address: P. O. BOX 14675, DAR ES SALAAM, Qualification: NOTARY PUBLIC AND COMMISSIONER FOIR OATHS. TAARIFA YA KAWAIDA NA. 755 CHANGE OF NAME BY DEED POLL The Registration of Documents Act (CAP. 117) BY THIS DEED I, the undersigned KASSIM MOHAMED HAJI BAKUU formerly known as KASSIM MOHAMED of Post Office Box Naumber 77106, Dar es Salaam, Tanzania, DO HEREBY absolutely and antirely renounce, relinquish and abandon the use of my name of KASSIM MOHAMED as used in my school certificates. } } ............................ DEPONENT In pursuance of such change of name as aforesaid I, HEREBY DECLARE that as from the date hereof, I shall all times hereafter in all records, deeds and instruments in writing and in all dealings and transaction and upon all occasions whatsoever use and sign the name of KASSIM MOHAMED HAJI BAKUU as my name in lieu of the said KASSIM MOHAMED renounces as aforesaid. AND I HEREBY AUTHORISE and request all person to designate, describe and address me by suc assumed name of KASSIM MOHAMED HAJI BAKUU. IN WITNESS WHEREOF I have hereunder signed and have set my hand on the date and the manner herein below appearing. SIGNED and DELIVERED by the said KASSIM MOHAMED HAJI BAKUU who is identified to me by LILA MTULIA in my presence this 3rd day of November, 2009. BEFORE ME: .......................................... Commissioner of Oath }} ............................ DEPONENT TAARIFA YA KAWAIDA NA. 756 Police Force No. 12 TANZANIA POLICE FORCE INVENTORY OF UNCLAIMED PROPERTY FROM: OCS MIKESE POLICE STATION TO: MAGISTRATE MIKESE PRIMARY COURT Description Pikipiki aina ya TVS King MC 647 ASX Pikipiki aina ya Toyo MC 649 ASN Pikipiki aina ya Sanlg MC 724 Estimated Value 100,000/= 50,000/= 50,000/= Finder’s Name and Address A/INSP. L. Shibanda E. 2162 CPL Ally G. 1400 PC Mussa Remarks as to Condition Mbovu Mbovu Mbovu Magistrates Orders L and F No. MKS/RB/628/17 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 Date 14/12/2017 20/09/2019 20/09/2019 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA42 12 Juni, 2020 Description Pikipiki aina ya Fekon MC 189 AAB Pikikipi Sanlg T 618 CXJ Pikipiki aina ya Sanlg MC 380 BTP Pikipiki aina ya Fekon T 254 CRN Pikipiki aina ya Sanlg MC 400 ARS Pikipiki aina ya Sanlg MC 537 AYL Pikipiki aina ya Fekon Chasisf No. LDAPJOBZE GB07897 Pikipiki aina ya Sanlg T 276 BTT Pikipiki aina ya Sanlg Chasis No LBRSPJB55C 9026348 Pikipiki aina ya MTR Chasis No. LMHPCJL76 80200435 Pikipiki aina ya Sanlg T 957 CJH Estimated Value 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= Finder’s Name and Address G. 2672 PC Salimu E. 3536 CPL Umad D 5085 SSGT Salumu F 3150 CPL Francis G 218 PC Francis G 4568 PC Horace F. 3150 CPL Francis G 218 PC Francis G. 1400 PC Mussa G. 2672 PC Salim WP 4644 CPL Georcha Remarks as to Condition Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Mbovu Magistrates Orders L and F No. MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 MKS/RB/485/ 2019 Date 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 20/09/ 2019 ...................................................... Mkuu wa Kituo cha Polisi Mikese