SHERIA YA UWEKEZAJI TANZANIA, SHERIA NO. 10 YA MWAKA 2022.
Date
2022-12-02Author
CLERK OF THE NATIONAL ASSEMBLY, NENELWA J. MWIHAMBI.
Metadata
Show full item recordAbstract
Sheria ya kuweka masharti ya uwekezaji Tanzania, kuweka masharti ya mazingira bora kwa wawekezaji, kuweka mfumo wa kitaasisi kwa ajili ya uratibu, ulinzi, uvutiaji, uhamasishaji na uwezeshaji wa uwekezaji nchini, kufuta Sheria ya Uwekezaji Tanzania, 1997 na masuala yanayohusiana na hayo.