SHERIA YA USIMAMIZI WA MAAFA, NA. 6 YA 2022.
Abstract
Sheria ya kuweka mfumo wa usimamizi na uratibu wa maafa kwa ajili ya hatua za kuzuia na kupunguza madhara ya majanga, kujiandaa kukabili na kurejesha hali pindi maafa yanapotokea pamoja na kuanzisha na kusimamia Mfuko wa Usimamizi wa Maafa na mambo yanayohusiana nayo.