JARIDA LA WAKILI MKUU WA SERIKALI: TOLEO LA KWANZA
Abstract
Hili ni toleo la kwanza la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali. Jarida hili limepata usajili rasmi kwa mujibu wa Sheria za nchi. Tumeruhusiwa kulichapisha na tuna baraka zote za Msajili wa Magazeti.